Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Yeah mimi huwa nilikuwa nachagua dirishani,eneo la mabawa kwasababu ndio sehemu ngumu kwenye ndege. Leo nimepata somo jipya.
Hahaha dereva huwa anawapa miti upande mwingine upande wake akaaa
 
Tukienda kwa takwimu... Usafiri wa ndege ndio salama zaidi kuliko usafiri mwingine wowote
 
Ticket yako ndo itaamua ukae wap
Jamani tushawaambia unaweza wewe kuchagua wapi ukae. Unachagua wakati wa check-in aidha online au kwenye airline desk airport.
 
Ndege ni usafiri salama zaidi duniani. Lakini ajali yake kupona ni kazi sana.
Kwa utafiti wa wataalam sehemu utakayokaa kwenye ndege ina nafasi kubwa sana kuamua uhai wako.

Igawe ndege mara tatu, kipande cha mbele,kati na nyuma.

1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 49%

2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 56%

3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 69%

Vile vile siti ya koridoni ni salama zaidi kuliko dirishani.
Jitahidi usikae zaidi ya mistari mitano kutoka mlango wa dharura.

Wanasema ndege ikianguka sehemu ya nyuma inameguka mara nyingi inabaki salama, sehemu ya kati kwa sababu ndio kuna tank la mafuta ndio huwa inaungua sana, sehemu ya mbele ndio ya kwanza kukutana na impact mfano kwenye crash landing.
Source:NatGe Air Crash Investigation
Hii program huwa siikosi hasa jumapili,, nilichogundua ndege kuanguka husababishwa na vitu vidogo Sana ambavyo huwezidhania,,,
NI usafiri very perfect kusipotokea shida, na ndege ikipata shida NI usafiri deadly 100%
 
Uzuri wao ikianguka wanatafuta chanzo na kuhakikisha haitokei tena kwa kosa hilo hilo.
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
Wee wacha tu, ndege sina hamu nayo, ndio basi tu changamoto za maisha zinafanya kukosa option. Ingekuwa ni amri yangu, hata Japan ningeenda kwa Vitz tu.
 
Unaambiwa ndege inapojipiga chini inakatika katikati kipande cha mbele linashika moto mara moja kwa kuwa kuna mafuta...nyie wanyuma mnabaki salamaaaaa..[emoji51] wewe endelea tu kukaa mbele.
Dah....haya bana
 
Ndege ni usafiri salama zaidi duniani. Lakini ajali yake kupona ni kazi sana.
Kwa utafiti wa wataalam sehemu utakayokaa kwenye ndege ina nafasi kubwa sana kuamua uhai wako.

Igawe ndege mara tatu, kipande cha mbele,kati na nyuma.

1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 49%

2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 56%

3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 69%

Vile vile siti ya koridoni ni salama zaidi kuliko dirishani.
Jitahidi usikae zaidi ya mistari mitano kutoka mlango wa dharura.

Wanasema ndege ikianguka sehemu ya nyuma inameguka mara nyingi inabaki salama, sehemu ya kati kwa sababu ndio kuna tank la mafuta ndio huwa inaungua sana, sehemu ya mbele ndio ya kwanza kukutana na impact mfano kwenye crash landing.
Source:NatGe Air Crash Investigation
Kwa tunaopenda business class inakuwaje hapo?
 
Hakuna sehemu salama kwenye ndege, inategemea tu na ajali inavyotokea.
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
Hiyo sentensi ua mwisho sijui kama ni ya kwako...
 
Unatakiwa ukumbuke ndio usafiri salama zaidi duniani.
You are more likely to be killed in a car accident on your way to the airport than get killed in airplane crash!
Angalao we umeshusha presha kidogo.
 
Usafiri wa ndege ni fasta vyote kufika fasta kufa fasta hakuna sehemu ya majeruhi kwenye ndege
 
Back
Top Bottom