Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,046
- 2,477
Njoo kibiti huku ule maisha chumba mpaka elfu 20 na maji fresh tu
MbeyaTo yeye wew ni mwenyeji wa wap?
🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂 we jamaa muuaji!
Alime mpunga kwa 2.5 M aliyonayo ? Kukodi shamba na malazi??Nenda ifakara kalime mpunga utakuja kunishukuru baadae
Aende Mbarali sehem moja hiv pakishua panaitwa Chimala
Kwa hiyo 2.5 alonayo Dar si ataishia kupanga chumba na chakulaNjoo Dar, hutajuta kamwe.
Dar ndio kila kitu kwa mtu anayesaka maisha na mwenye kupenda kushughulisha ubongo wake.
Nje ya Dar, ni kubahatisha na kujichelewesha.
Mkoa ambao hayo yote yapo optimum ni Kilimanjaro. Tena tafuta jumba huko Moshi vijijini, Hai, Sia au Rombo huku ukichagua hali ya hewa unayoitaka.Kwema wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.
Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
- Unafuu wa maisha
- Huduma ya maji ya kuaminika*
- Huduma ya umeme
- Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
- Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
- Hali ya hewa safi
Asante sana mkuu, umedadavua vyema.Mkoa ambao hayo yote yapo optimum ni Kilimanjaro. Tena tafuta jumba huko Moshi vijijini, Hai, Sia au Rombo huku ukichagua hali ya hewa unayoitaka.
Pia hata Moshi mjini ni pazuri ila joto ni kali, tafuta nje kidogo ya mji kuelekea milimani within the town periphery ni pazuri. Karibu Moshi!
- Hakuna mbu
- Maji masafi na matamu
- Temperature between 20-29C
- Barabara za lami
- Uoto wa asili mwingi (Lush countryside)
- Umeme
- Network coverage nzuri with 4G
- Ukaribu na miji mikubwa Arusha, Tanga, Dodoma, etc
- Watu wenye msaada na ustaarabu (strong & useful connection)
- Utulivu no trafic no robbery
- Hakuna uswahili sana
- Taasisi nyingi za dini, elimu, etc
- Airports, etc
Nadhani jamaa hajanielewa. 2.5m niliyonayo sio pesa ya mtaji wa biashara, ni pesa ya kuanzia maisha nikimaanisha kulipia kodi (mwanzoni) na kununua furniture na vyombo kadhaa vya ndani vya kuanzia.Alime mpunga kwa 2.5 M aliyonayo ? Kukodi shamba na malazi??
Kisesa, Buhongwa, Nyegezi, Busweru au Igoma unaweza ishi vyumba ni bei nzuri tu ndani ya uwezo wako...Mkuu kwa upande wako ni maeneo gani Mwanza unaona pako vyema kwa kuanzia na penye vigezo nilivotaja pale juu.
Moshi Shant town ingefaa sana ni karibu kabisa na town centre ila ni kama Oysterbay, Masaki, etc ni ghali ila bado unaweza ukapata chumba kwa angalau ~100,000/=. Maeneo ya pembeni ya hapo kuelekea KCMC ni mazuri sana ila kuna taasisi nyingi na wanafunzi wengi na waalimu hivyo nyumba ni gharama. Rau na maeneo yanayozunguka ni pazuri sana hapo, pana ka-town kadogo/centre na ni town periphery nzuri na usafiri na yote mengine yapo. Hayo maeneo ni very interactive yana wanafunzi wa vyuo vikuu wengi kama CCP, Mwenge University, Moshi University, KCMC College na taasisi zake, masekondari mengi, etc. Nakushauri tafuta meaeneo ya kuzunguka Rau na KCMC. Usafiri ni mzuri wa kila aina.Asante sana mkuu, umedadavua vyema.
Kwa Moshi mjini ni maeneo gani ya nje ya mji mazuri kwa kuishi yenye sifa nilizotaja, pia yenye access ya usafiri wa bajaji kwenda na kurudi town mda wote.
Maeneo mengi yenye unafuu wa maisha hasa bei ya chakula ikiwa ndogo kulinganisha na maeneo mengine hata upatikanaji wa pesa uko slow as f*ck.. Mbeya mzunguko wa hela ni wa kawaida sana au uko slow naweza sema... Mbeya inabidi uwe na biashara kubwa kiasi yenye bidhaa za kuhitajika na watu sana kwa ukanda huo ikiwa na mzunguko mzuri ndio pesa utaiona kwa wingi unless unakaa Tunduma, Kyela au Chunya huko ni maeneo ya utafutaji sana pesa ipo ila mjini pale chenga, kwakua jamaa yeye ni mzee wa Issues za Online panamfaa na atajenga kabisa kule...Kama ndio hivyo mbona dada zenu wanakimbilia Dar kuwa ma house girl na ma bar made?
Nyingi sana hiyo, kukodi shamba laki1,kwa umwagiliaji laki 7 heka 1 .Alime mpunga kwa 2.5 M aliyonayo ? Kukodi shamba na malazi??
Mkuu kwani wewe ni ....VetechMbeya napapenda sana kipindi nafanya kazi Nilinunuaga Alteza ndo zimeingia Bado mbichiiii.Nilikuwa natoka mbio toka mbeya halafu imefungwa bunda Hadi boda ya Kasumulu,nkifika boda napiga drift mbili tatu halafu nachimba naenda matema beach halafu Mziki mnene.Ila now nimefulia nimerudi home ilala kama Chidi Benz.
Sio Mimi mkuu.Mkuu kwani wewe ni ....Vetech
Mzee wa Tezza?
Mbeya gharama ya maisha iko chini.Ila ni mji mzuri kwa kweli.kule mzunguko wa hela ni mdogo.hivyo mwenye hela kidogo anakuwa na nguvu, kwa hiyo 70k unapata hata nyumba siyo tui chumba tena maeneo ya kistaraabu sana. kuhusu stability ya internet sina uhakika sanaKwema wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.
Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
- Unafuu wa maisha
- Huduma ya maji ya kuaminika*
- Huduma ya umeme
- Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
- Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
- Hali ya hewa safi
Nanjilinji...Kwema wakuu!

kwani uapoishi apafai kufanyia kazi hiyo?Kwema wakuu!