Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,335
- 28,606
Kama unafanya kazi full time online ina maanisha wewe ni freelancer..
Ningekushauri pia uangalie sehemu ambayo ina tech eco system kubwa ambayo inaweza kukupa fursa za kuuza huduma kwa private companies lakini pia kufanya networking haswa kwa tech events
1.Dar
Fursa za tech ndo zilipo na Unaweza kujichimbia maeneo ya nje ya mji kama kibamba hukoo
2. Mwanza
Hili ni jiji lenye vigezo vyote unavyotaka
3.Arusha, huwa naona kama tech industry ni kubwa pia lakini kuhusu unafuu wa maisha, sijui
Kama ukitaka hiyo lazy life, mikoa mingi ukienda wilayani panakuwa na nafuu zaidi