Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

Kama una deal na online business unataka sehemu tulivu yenye vegetation na ni mji mpya mpya njoo DSM ukanda wa kigamboni huu kuanzia kigamboni mpaka Toangoma maeneo Kama mikwambe Kuna njia inaenda mbagala Kuna maeneo mazuri Sana Happ kati tulivu sana uzuri wa maeneo hayo kwa kazi zako siku ukiwa off recreation area nyingi Dar Zoo, Funcity, Beaches za mji mwema mpaka kigamboni nk
 
Kwema wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.

Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
  • Unafuu wa maisha
  • Huduma ya maji ya kuaminika*
  • Huduma ya umeme
  • Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
  • Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
  • Hali ya hewa safi
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
Njoo Dar tukae sehemu Nikupe mipango ya maisha. Utalipia lodge kama tsh 20,000 kwa siku. Kqa siku 5. Kuna maeneo nitakuwa nakutana nawe jioni tunakunywa huku tulipanga mipango nakupa na connection pia.
 
Kama ni ishu za online sehemu pekee ni dar...! Maan internet ni uhakika kasi kasi....! Usafiri ni rahisi na huduma za kibenki maana mtu wa online huduma za kibenki za kimataifa lazima uzitangatie hilo
 
Kumbe ww ni mdogo wangu kabisa wa kitaa. Pia inawezekana tumeishi nyakati tofauti. Mimi nimeishi zamani kidogo. Huo huo mtaa wa BOT nyumba niliyokuwa nakaa na BOT ni pua na mdomo tunatazamana tulitenganishwa na hiyo barabara ambayo sshv naona wameweka lami. Niliona mwakajuzi nilipokuja Mby
Yeah sasa hivi wameweka lami

Mimi nimeishi Miaka ya late 2010s hapo

Nyumba yenu ilikuwa upande upi kwenye ile njia inayoteremka sangu mkuu
 
Yeah sasa hivi wameweka lami

Mimi nimeishi Miaka ya late 2010s hapo

Nyumba yenu ilikuwa upande upi kwenye ile njia inayoteremka sangu mkuu
No nyumba ilikuwa upande wa lami. Ambako tulikuwa tunatazamana na BOT hesabu nyumba 1,2,3,4,5 upande wa kushoto kama unatokea njia ya kwenda Sangu
Mimi nimeishi miaka 90 mpaka 2001.
 
Mbeya napapenda sana kipindi nafanya kazi Nilinunuaga Alteza ndo zimeingia Bado mbichiiii.Nilikuwa natoka mbio toka mbeya halafu imefungwa bunda Hadi boda ya Kasumulu,nkifika boda napiga drift mbili tatu halafu nachimba naenda matema beach halafu Mziki mnene.Ila now nimefulia nimerudi home ilala kama Chidi Benz.
Kwa hiyo akili ya kindezi iliyokuwa nayo kipindi hicho kufulia was a must [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama una deal na online business unataka sehemu tulivu yenye vegetation na ni mji mpya mpya njoo DSM ukanda wa kigamboni huu kuanzia kigamboni mpaka Toangoma maeneo Kama mikwambe Kuna njia inaenda mbagala Kuna maeneo mazuri Sana Happ kati tulivu sana uzuri wa maeneo hayo kwa kazi zako siku ukiwa off recreation area nyingi Dar Zoo, Funcity, Beaches za mji mwema mpaka kigamboni nk
Mkuu kwa hayo maeneo vyumba vya kupanga vinaenda bei gani?
 
Kama ni ishu za online sehemu pekee ni dar...! Maan internet ni uhakika kasi kasi....! Usafiri ni rahisi na huduma za kibenki maana mtu wa online huduma za kibenki za kimataifa lazima uzitangatie hilo
Kabisa mkuu sema nawaza Dar sehemu affordable kwa hiyo budget yangu sio kwamba itakuwa uswahilini sana?
 
muda mwingine huwa naona labda anaeweza kupata wepesi wa maisha katika dunia hii ni watu wachache tu mfano wa mtoto alie chini ya wazazi na mwanamke alie olewa na mtu mwenye mali

Vinginevyo ukizaliwa wa kiume una asilimia kubwa ya kukutana na ugumu wa maisha popote ulipo na ukizichanga karata vizur unatoboa tu hata ukiwa kwenye mikoa ambayo inatajwa kuwa ni migumu
Uzi ufungwe kwa comment hii! Mimi nilikua miongoni mwa watu walioteswa na mentality ya kua sehemu fulani Kuna unafuu wa maisha ila nikienda Mambo hayawi Kama nilivyopanga ila mwisho wa siku niliamua kukomaa mkoani kwangu nikazichanga kete zangu vizuri kidogo ninaona mwanga japokua sijatoboa nikitoboa ntakuja kutoa ushuhuda.
 
Back
Top Bottom