Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,220
- 1,498
Mbeya ya wapi hiyo ikiwa mpaka Mwasanga wanalia maisha magumu?😃😃Sie Mbeya na Nyanda za Juu Kusini Kwa ujumla vile vilio vya maisha magumu Huwa havituhusu kabisaa.
Mbeya ya wapi hiyo ikiwa mpaka Mwasanga wanalia maisha magumu?😃😃Sie Mbeya na Nyanda za Juu Kusini Kwa ujumla vile vilio vya maisha magumu Huwa havituhusu kabisaa.
Pale pale opposite na BOT mkuu, ile barabara inayoteremka kuenda Sangu, yani nilikuwa nikitoka nje ya nyumba nikisimama barabarani naiona benki ile paleShwari ulikuwa unakaa wp!?
Bado tulivu japo hizi barabara wameziingiza kule daladala na bajaji ndo njia yao ndo kidogo vikeleleHivi block t bado kumetulia au kushakuwa vagarant
Ova
Hapana mkuuIli ukale 2.5 m ya mtoto wa watu?
Unataka kuniambia ulikuwa unakaa karibu na kwa kina Felix!?Pale pale opposite na BOT mkuu, ile barabara inayoteremka kuenda Sangu, yani nilikuwa nikitoka nje ya nyumba nikisimama barabarani naiona benki ile pale
Nimeondoka Zaidi Ya Miaka 8 Huko Kurudi Mzizima Kule Kumekuwa HomesteadBado una connection na kigoma mkuu?
nenda sumbawangaKwema wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.
Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
- Unafuu wa maisha
- Huduma ya maji ya kuaminika*
- Huduma ya umeme
- Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
- Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
- Hali ya hewa safi
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
Kiranjeranje lindiKwema wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.
Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
- Unafuu wa maisha
- Huduma ya maji ya kuaminika*
- Huduma ya umeme
- Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
- Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
- Hali ya hewa safi
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
Yeah guest ya Magoda naifahamu ila Felix simfahamu huo mtaa walikuwa wanapaita kwa Mgawe, nilikuwa naishi jirani na nyumba aliyokuwa anaishi mtoto wa Adam Safari kama unampata, sema alishahama amehamia IwambiUnataka kuniambia ulikuwa unakaa karibu na kwa kina Felix!?
Hii barabara ambayo ukishuka kwenda sangu secondary pembeni yake mkono wa kulia kulikuwa na guest ya Magoda!?
Kumbe ww ni mdogo wangu kabisa wa kitaa. Pia inawezekana tumeishi nyakati tofauti. Mimi nimeishi zamani kidogo. Huo huo mtaa wa BOT nyumba niliyokuwa nakaa na BOT ni pua na mdomo tunatazamana tulitenganishwa na hiyo barabara ambayo sshv naona wameweka lami. Niliona mwakajuzi nilipokuja MbyYeah guest ya Magoda naifahamu ila Felix simfahamu huo mtaa walikuwa wanapaita kwa Mgawe, nilikuwa naishi jirani na nyumba aliyokuwa anaishi mtoto wa Adam Safari kama unampata, sema alishahama amehamia Iwambi
Lakini yawezekana tumeishi nyakati tofauti maeneo hayo
Wewe ulikuwa kwa wapi mkuu
Atakufa na UkimwiNenda mtukula
Dah sioni la ajabu kwa wewe mwanakwetu .Mbeya napapenda sana kipindi nafanya kazi Nilinunuaga Alteza ndo zimeingia Bado mbichiiii.Nilikuwa natoka mbio toka mbeya halafu imefungwa bunda Hadi boda ya Kasumulu,nkifika boda napiga drift mbili tatu halafu nachimba naenda matema beach halafu Mziki mnene.Ila now nimefulia nimerudi home ilala kama Chidi Benz.
Huko tuvibaka tunakimbilia huko baada ya kuharibu mijiniNenda dar mitaa ya fundi baiskeli(PONDE) kigamboni kama unaenda toangoma utakuja kushukuru baadaye
SafiKaribu nitamwagiza bodaboda ukalale kwake
😂😂 we jamaa muuaji!Nenda Zanka Dodoma Njia Ya Kwenda Kondoa
Akikujbu nitagTo yeye upo Mbeya!!??Umenikumbusha kitu. Mbeya ndio mji wangu niliokulia. Nilikuwa nakaa forest ya zamani karibu na BOT
To yeye wew ni mwenyeji wa wap?Karibu uyole,fungu moja mboga za majani sh 100,nyama ya ng'ombe kilo 1 ni 6000,kitimoto 7000,viaz ndiz vya kumwaga,nyanya 4 nimepewa jioni ya Leo kwa mia mbili,karoti 3 mia mbili....sijui nitake nini Mkuu?
Soko likoje mdau??,Mana isije tukakusanya kisha tukapigwa na kitu kizito. Bauntu asukileMimi ni mtu wa Mbeya,,ila nipo Njombe kwa sasa , achana na mambo ya Online njoo Njombe tukusanye maharage na mkaa hakika utafurahi ,, maisha yako poa kabisa hiki si kipindi cha baridi .Nafaka ndio hela ilipo kwa sasa...