iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,149
- 9,971
Pesa mingi sana hiyo kwa Mbeya, aende kule hatojutia.... Au aje Mwanza pia life la kawaida ukiwa na hela..Nenda mbeya tu uta survive na huo mpunga wako
Pesa mingi sana hiyo kwa Mbeya, aende kule hatojutia.... Au aje Mwanza pia life la kawaida ukiwa na hela..Nenda mbeya tu uta survive na huo mpunga wako
Chakula cha 1000 huku Mwanza kingi mno kwa mama ntilie tunshiba kabisa hahaaa... Mwanza ukiwa na hela tu au mchongo wa kukuingizia pesa za madafu unaishi.........Mwanza chumba cha 50k to 70k ni quality sana.Nyamagama na ilemela ndo penyew, hukusu chakula Pako poa,huku anaishi yoyote kwa mam ntilie ata chakula cha 1,000 unapata ni mfuko wako ukitak chai ya 10,000 ipo [emoji23] kiufupi ni wew tu na budget zako.
Mama ntilie wakianza kukuzoea ndo utajua ujui itabid uende na hotpot uweke chakula kitakachobak.Chakula cha 1000 huku Mwanza kingi mno kwa mama ntilie tunshiba kabisa hahaaa... Mwanza ukiwa na hela tu au mchongo wa kukuingizia pesa za madafu unaishi.........
Mkuu kwa upande wako ni maeneo gani Mwanza unaona pako vyema kwa kuanzia na penye vigezo nilivotaja pale juu.Chakula cha 1000 huku Mwanza kingi mno kwa mama ntilie tunshiba kabisa hahaaa... Mwanza ukiwa na hela tu au mchongo wa kukuingizia pesa za madafu unaishi.........
Nenda dar mitaa ya fundi baiskeli(PONDE) kigamboni kama unaenda toangoma utakuja kushukuru baadaye
Karibu nitamwagiza bodaboda ukalale kwake
Ili ukale 2.5 m ya mtoto wa watu?Njoo mbeya
Unaweza kulima mihogo kuleKuna fursa gani huko?
saiv zimekua hostel za chuo Mzumbe mkuu!!Hapo Forest Nimekula Maisha Kuna Ghorofa Za BOT
Hizo Hostel ZA BOT Wamegeuza Matumizisaiv zimekua hostel za chuo Mzumbe mkuu!!
ChatoKwema wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.
Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
- Unafuu wa maisha
- Huduma ya maji ya kuaminika*
- Huduma ya umeme
- Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
- Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
- Hali ya hewa safi
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
access ama??Hizo Hostel ZA BOT Wamegeuza Matumizi
Kuna Radio Ya FM Jina Limenitoka
Kama ndio hivyo mbona dada zenu wanakimbilia Dar kuwa ma house girl na ma bar made?Sie Mbeya na Nyanda za Juu Kusini Kwa ujumla vile vilio vya maisha magumu Huwa havituhusu kabisaa.
PorojoKama ndio hivyo mbona dada zenu wanakimbilia Dar kuwa ma house girl na ma bar made?
Aende Mbarali sehem moja hiv pakishua panaitwa ChimalaNjombe Kuna wajanja usipende,nenda Makambako,Tunduma,Ifakara,Mbalizi,Mbeya, Mbarali
Bado una connection na kigoma mkuu?Kigoma Nimekaa Sana Kwenye Kambi Za Wakimbizi Ila Siyo Home Kule