Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

Kwema wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.

Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo

  • Unafuu wa maisha
  • Huduma ya maji ya kuaminika*
  • Huduma ya umeme
  • Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
  • Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
  • Hali ya hewa safi

Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.

Hapo utamapa mialiko mikoa yote [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwema wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.

Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo

  • Unafuu wa maisha
  • Huduma ya maji ya kuaminika*
  • Huduma ya umeme
  • Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
  • Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
  • Hali ya hewa safi

Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
Njoo mwanza kijana utanishukur.Kwanza biashara zako za online zinahisu nn hasa?
 
To yeye upo Mbeya!!??Umenikumbusha kitu. Mbeya ndio mji wangu niliokulia. Nilikuwa nakaa forest ya zamani karibu na BOT
Karibu uyole,fungu moja mboga za majani sh 100,nyama ya ng'ombe kilo 1 ni 6000,kitimoto 7000,viaz ndiz vya kumwaga,nyanya 4 nimepewa jioni ya Leo kwa mia mbili,karoti 3 mia mbili....sijui nitake nini Mkuu?
 
Mbeya napapenda sana kipindi nafanya kazi Nilinunuaga Alteza ndo zimeingia Bado mbichiiii.Nilikuwa natoka mbio toka mbeya halafu imefungwa bunda Hadi boda ya Kasumulu,nkifika boda napiga drift mbili tatu halafu nachimba naenda matema beach halafu Mziki mnene.Ila now nimefulia nimerudi home ilala kama Chidi Benz.
 
Kila jambo na wakati wake..
 
😂😂😂🚶
 
Back
Top Bottom