Iamwhoiamm
JF-Expert Member
- Oct 18, 2022
- 503
- 890
Nenda dar mitaa ya fundi baiskeli(PONDE) kigamboni kama unaenda toangoma utakuja kushukuru baadaye
Ila mi bado naona maisha magumu labda nikijengaSie Mbeya na Nyanda za Juu Kusini Kwa ujumla vile vilio vya maisha magumu Huwa havituhusu kabisaa.
Karibu nitamwagiza bodaboda ukalale kwakeNakuja huko weekend..
Baridi kali sana muda wote wa mwaka, pesa ipo ya kutoshaVipi kuhusu hali ya hewa huku? Naskia kuna baridi la hatari
Sawasawa 🤣Karibu nitamwagiza bodaboda ukalale kwake
😔am sorSawasawa 🤣
Hilo nimezingatia bro. Maeneo mengi ya mjini ukiachana na Dar bei ya single self rooms ndo zinachezea hapo.Criteria ziendane na mpunga bro!!
Itende jeshini?Hapo Mbeya Maeneo Ya Itende Tumekula
Mwanza maeneo gani yapo poa, pia vipi kuhusu bei ya vyumba kwa hayo maeneo?Njoo mwanza kijana utanishukur.Kwanza biashara zako za online zinahisu nn hasa?
Jirani Hapo Na JeshiItende jeshini?
Vipi mkuu!, mbona kama umesikitikaAisee..
Mbeya napapenda sana kipindi nafanya kazi Nilinunuaga Alteza ndo zimeingia Bado mbichiiii.Nilikuwa natoka mbio toka mbeya halafu imefungwa bunda Hadi boda ya Kasumulu,nkifika boda napiga drift mbili tatu halafu nachimba naenda matema beach halafu Mziki mnene.Ila now nimefulia nimerudi home ilala kama Chidi Benz.
Acha kukariri maishaNjoo Dar, hutajuta kamwe.
Dar ndio kila kitu kwa mtu anayesaka maisha na mwenye kupenda kushughulisha ubongo wake.
Nje ya Dar, ni kubahatisha na kujichelewesha.
Hapana MkuuVipi mkuu!, mbona kama umesikitika
Mbeya nmekaa sana kweli life ni cheap mno huko ukiwa na 2000 unapika kabisa ugali mboga gheto...Karibu uyole,fungu moja mboga za majani sh 100,nyama ya ng'ombe kilo 1 ni 6000,kitimoto 7000,viaz ndiz vya kumwaga,nyanya 4 nimepewa jioni ya Leo kwa mia mbili,karoti 3 mia mbili....sijui nitake nini Mkuu?
Mwanza chumba cha 50k to 70k ni quality sana.Nyamagama na ilemela ndo penyew, hukusu chakula Pako poa,huku anaishi yoyote kwa mam ntilie ata chakula cha 1,000 unapata ni mfuko wako ukitak chai ya 10,000 ipo [emoji23] kiufupi ni wew tu na budget zako.Mwanza maeneo gani yapo poa, pia vipi kuhusu bei ya vyumba kwa hayo maeneo?
Kazi zangu ni; Freelancing na VA