Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

Maeneo mengi yenye unafuu wa maisha hasa bei ya chakula ikiwa ndogo kulinganisha na maeneo mengine hata upatikanaji wa pesa uko slow as f*ck.. Mbeya mzunguko wa hela ni wa kawaida sana au uko slow naweza sema... Mbeya inabidi uwe na biashara kubwa kiasi yenye bidhaa za kuhitajika na watu sana kwa ukanda huo ikiwa na mzunguko mzuri ndio pesa utaiona kwa wingi unless unakaa Tunduma, Kyela au Chunya huko ni maeneo ya utafutaji sana pesa ipo ila mjini pale chenga, kwakua jamaa yeye ni mzee wa Issues za Online panamfaa na atajenga kabisa kule...
Uko sahihi kabisa binafsi Bora niishi sehemu ambayo gharama ya maisha ni kubwa kuliko kuishi sehemu ambayo gharama ni ndogo.
 
Karibu uyole,fungu moja mboga za majani sh 100,nyama ya ng'ombe kilo 1 ni 6000,kitimoto 7000,viaz ndiz vya kumwaga,nyanya 4 nimepewa jioni ya Leo kwa mia mbili,karoti 3 mia mbili....sijui nitake nini Mkuu?
Mbeya ni home huko mazagazaga ya Chakula utaacha mwenyewe nikipita nabeba Maziwa mgando ya Kiwira juzi nikebeba machache nimefika nayo Arusha 5 lita tuu wale jamaa wana Mtindi nimeyapitisha kwa kweli..yupo Jamaa angu Mkurya hata akipitq Tunduma anapiga simu atumiwe kwa coaster za Kyela apogee hapo nane nane ..
 
Sehemu Tamu kuishi Kwa kweli ni Arusha japo wakazi wake somehow chenga Ila weather ni amazing , Ila kama Kwa business za kutumia akili bila nguvu Kwa kweli ni DSM tuuu , Ila maisha ya huku stress Sana may be uwe fisadi , connection zote zpo huku
 
Njoo TANGA hutojuta, toto zipo kibao, hali ya hewa mwanana, chakula kipo maisha cheap, ukitaka kimbia dar au arusha ni chap tu, network sikuhizi hadi vijijin iko poa tu
Tanga maeneo gani yapo vyema? Nimeona baadhi ya wadau wanaitaja Lushoto
 
Tanga maeneo gani yapo vyema? Nimeona baadhi ya wadau wanaitaja Lushoto
Lushoto iko vzr sana, mheza ina maeneo mazuri, pangani kuna watu wana maisha pembeni ya bahari wanaishi kama ulaya, wana private beach na private roads acha kabisa, tanga mjini, ni jiji lisilo na karaha za majiji mengine, ila kila kitu kilichopo dar utapata, korogwe pia iko poa
 
Moshi Shant town ingefaa sana ni karibu kabisa na town centre ila ni kama Oysterbay, Masaki, etc ni ghali ila bado unaweza ukapata chumba kwa angalau ~100,000/=. Maeneo ya pembeni ya hapo kuelekea KCMC ni mazuri sana ila kuna taasisi nyingi na wanafunzi wengi na waalimu hivyo nyumba ni gharama. Rau na maeneo yanayozunguka ni pazuri sana hapo, pana ka-town kadogo/centre na ni town periphery nzuri na usafiri na yote mengine yapo. Hayo maeneo ni very interactive yana wanafunzi wa vyuo vikuu wengi kama CCP, Mwenge University, Moshi University, KCMC College na taasisi zake, masekondari mengi, etc. Nakushauri tafuta meaeneo ya kuzunguka Rau na KCMC. Usafiri ni mzuri wa kila aina.
Moshi ni kwetu lakini angalia bwana mdogo asipaone pa hovyo, yeye anataka master au kaself contained cha elfu 60/70 kwa hayo maeneo, moshi hapati.

Sema yeye hajatueleza which online business anafanya, maana vijana bhna. Most online bizness kama hujaspecify kwenye goods and services za realible customers let me tell you usijipe hope kiasi hicho..... forex for beginners isn't realistic, betting the same case, loosing is common.

Beware mkuu.
 
Njoo TANGA hutojuta, toto zipo kibao, hali ya hewa mwanana, chakula kipo maisha cheap, ukitaka kimbia dar au arusha ni chap tu, network sikuhizi hadi vijijin iko poa tu
Uhakika mwamba, yaani Tanga pesa ikiwepo ni pazuri sana kuliko.
 
Kwema wakuu!

Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.

Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye sifa zifuatazo
  • Unafuu wa maisha
  • Huduma ya maji ya kuaminika*
  • Huduma ya umeme
  • Network nzuri *, 4G imara ( kazi zangu zinategemea mtandao )
  • Urahisi wa kupangisha (room single masters zichezee 50k - 70k)
  • Hali ya hewa safi
Nitashukuru kwa michango yenu yote. Ukiweka jina la mkoa tafadhali taja na wilaya.
Njoo njombe chakula guaranteed network Kwa hapa mjini ni ya kuaminika sijajua sehemu zingn ila Voda ni 100% vyumba ndo uhakika zaidi adi vya 15 vipo elf 70 unaweza panga nyumba nzima🤣🤣
Ila Kuna baridi ya kiwango Cha lami
 
Karibu uyole,fungu moja mboga za majani sh 100,nyama ya ng'ombe kilo 1 ni 6000,kitimoto 7000,viaz ndiz vya kumwaga,nyanya 4 nimepewa jioni ya Leo kwa mia mbili,karoti 3 mia mbili....sijui nitake nini Mkuu?
I can't imagine venye uko kibonge unapenda kula kula 🤣
 
Mbeya napapenda sana kipindi nafanya kazi Nilinunuaga Alteza ndo zimeingia Bado mbichiiii.Nilikuwa natoka mbio toka mbeya halafu imefungwa bunda Hadi boda ya Kasumulu,nkifika boda napiga drift mbili tatu halafu nachimba naenda matema beach halafu Mziki mnene.Ila now nimefulia nimerudi home ilala kama Chidi Benz.
😂
 
Back
Top Bottom