- Thread starter
- #21
Poazzzz
Poazzzz
Njoo Sunset lodgeAny updates
ipo wapi hiiNjoo Sunset lodge
Kila kitu ndani kwa ndani.
Nakutafutia chumba self safi...
Hata kama huna 'mtoto' nitakutafutia
Iko maeneo ganNjoo Sunset lodge
Kila kitu ndani kwa ndani.
Nakutafutia chumba self safi...
Hata kama huna 'mtoto' nitakutafutia
Hii ipo mitaa ya chako ni chako kwa nyuma hapa kidogo. Iko opposite na Marry lodge pamoja na The Green way Hotel. Hii Sunset ni mpya haina hata miezi 2. Karibu mkuu.ipo wapi hii
Iko kwenye hivi vigrocery vya jirani na chako ni chako. Inaangaliana na Marylodge na Greem way hotel. Ni mpya haina hata miezi 2.Iko maeneo gan
Mmh..asa hpo si mjin kabisaIko kwenye hivi vigrocery vya jirani na chako ni chako. Inaangaliana na Marylodge na Greem way hotel. Ni mpya haina hata miezi 2.
Karibu sana
Marry lodge nimelala sana pale,unatoka platinum kukata kilaji unatembea dk 3 upo lodge.ndio lodge yangu nikiwa domHii ipo mitaa ya chako ni chako kwa nyuma hapa kidogo. Iko opposite na Marry lodge pamoja na The Green way Hotel. Hii Sunset ni mpya haina hata miezi 2. Karibu mkuu.
Ndio mkuuMmh..asa hpo si mjin kabisa
AiseeMarry lodge nimelala sana pale,unatoka platinum kukata kilaji unatembea dk 3 upo lodge.ndio lodge yangu nikiwa dom
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakaribia tena mkuuAisee
Karibu sana...
Pale jirani na platinum pia ipo AZ lodge
Mkuu tafadhari sana nakukuta hapo.Wakuu umofia kwenu?
Natafuta pub au sehemu yoyote kama bar iliyojificha ficha maeneo ya Dodoma. Nataka niende na mtoto sasa sipendi sehemu yenye watu wengi.
Karibu sana
Huduma nyinginezo zinapatikana?Iko kwenye hivi vigrocery vya jirani na chako ni chako. Inaangaliana na Marylodge na Greem way hotel. Ni mpya haina hata miezi 2.
Karibu sana
Oky..unazijua air bnbMorena hotel na Hotel jirani yake fresh tu