Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,344
- 8,819
Kwa hiyo unadhani sisi baba zetu hawapo Mbeya? Au mama zetu hawapo Mbeya? Mtu akitukana watu wa Mbeya katukana mama,baba,shangazi,mjomba kaka,dada na kila mtu anayenihusu,SO *** DAT NICA.wazazi wetu tuwape heshima stahiki! kama tumekwaruzana sisi humu JF basi tuelezane sisi kwa sisi tusiwahusishe wazee/wazazi wetu