Sehemu gani ya kuangalia Cinema Mbeya?!

Sehemu gani ya kuangalia Cinema Mbeya?!

Ofcoz mkuu,,, nakubalian na ww watakaokubishia ni ile tu nyumban ni nyumban atafanyj sas

HAIJULIKANI MJINI NI WAPI. SAWA WANATUMIA MATOFALI YA KUCHOMA ILA TOPE LA NINI NA HAKUNA WA KUJENGA MAGOROFA YAKAPENDEZESHA MJI.
 
Mkuu mimi pia nina safaribya mbeya kesho, nataman sana niangalie hyo movie.. Na kama mbeya hakuna cinemax basi hilo sio jiji..
Sifa moja wapo ya jiji ni cinema hall!? Hii nchi ina changamoto nyingi sana!
 
Wee mtoto wa fomu one mtu mzima hawezi kuwa hivyo na hata ukiwa mtu mzima majirani na watu wa karibu yako wanatabu saaana hii ni dunia rekebisha mdomo wako jifunze kuwa na hifadhi ya maneno kuropoka hakukupi umaarufu Wala kukuongezea fedha Bali kunakufanya udharaulike na usiwe na madhara kwa jamii inaonekana ulizaliwa kilabuni wewe
Walau iwe kilabuni, Huenda alizaliwa danguro huyo!
 
Wee mtoto wa fomu one mtu mzima hawezi kuwa hivyo na hata ukiwa mtu mzima majirani na watu wa karibu yako wanatabu saaana hii ni dunia rekebisha mdomo wako jifunze kuwa na hifadhi ya maneno kuropoka hakukupi umaarufu Wala kukuongezea fedha Bali kunakufanya udharaulike na usiwe na madhara kwa jamii inaonekana ulizaliwa kilabuni wewe
Duh!!!
 
Hivi kumbi za sinema zinatusaidia nini sisi wakulima muda wote tupo shambani kurudi jioni tumechoka sisi kwetu ni mwendo wa shamba sasa msituletee khabari za kukaa kwenye mijamvi siku nzima mnasimuliana series mbeya hatunaga hizo
 
Mbeya ni jiji la wachapa kazi na si wavivu kama nyie kutwa kwenye masinema mnaacha kuwajibika ukija huku fuata kilichokuleta uondoke zako usije tuambukiza uvivu wako ..
 
Back
Top Bottom