Sehemu gani ya kuangalia Cinema Mbeya?!

Sehemu gani ya kuangalia Cinema Mbeya?!

povu la nini ? hujanywa damu ya mtu leo?
Wee mtoto wa fomu one mtu mzima hawezi kuwa hivyo na hata ukiwa mtu mzima majirani na watu wa karibu yako wanatabu saaana hii ni dunia rekebisha mdomo wako jifunze kuwa na hifadhi ya maneno kuropoka hakukupi umaarufu Wala kukuongezea fedha Bali kunakufanya udharaulike na usiwe na madhara kwa jamii inaonekana ulizaliwa kilabuni wewe
 
povu la wachawi!
 
Wee si ndo humjui babaako wewe sio kosa lako bastard
Sawa dunia mwalimu usikute naongea na shoga mchafu najimalizia muda wangu kushauri
Ushauri wako kwake ungekuwa na maana kama na wewe ungeonesha kuwa na maneno yasiyoakisi mdomo mchafu.
 
Nenda Chawama video show,au kwa nasibu,ukikuta hapo wameweka picha za kihindi tupu nenda vijana video show pale kilabuni mafiati,HATUNA HAYO MASINEMA YENU SISI.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee jamaa sio mtu kule maanga kuna wachawi hatar
 
Kwa Mponzi Mwanjelwa, kwa Mambo Mbata, Kwa Mwarabu soko matola, Mama Amasha Maghorofani
Checking...100%
Network searching...100%

Network connected !
Near by Tunduma Mbeya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ushauri wako kwake ungekuwa na maana kama na wewe ungeonesha kuwa na maneno yasiyoakisi mdomo mchafu.
Yaani mi nikisikia mtu anaongelea damu namuona wa ajabu saana damu ni kitu kizito kiukweli nimejikuta busara zimenikimbia nimekuelewa kaka
 
Back
Top Bottom