Sehemu gani ya kuangalia Cinema Mbeya?!

Sehemu gani ya kuangalia Cinema Mbeya?!

Chips zinazowafanya msiwe n.a. nguvu zinatoka huku
Ukishajenga gorofa limependezesha mji afu biadhara hakuna inakwaje

MKUU BWANA MASUMBUKO. MIMI NI MWENYEJI WA MOSHI MKOANI KILIMANJARO ILA KWA SASA NIMEHAMIA MBEYA KIKAZI.
 
Mbeya ni jiji la wachapa kazi na si wavivu kama nyie kutwa kwenye masinema mnaacha kuwajibika ukija huku fuata kilichokuleta uondoke zako usije tuambukiza uvivu wako ..
Hivi unafahamu Moshi ipo vizuri zaidi ya Mbeya
.?
 
Nimefika Mbeya kikazi sasa kesho nataka pata nafasi kuangalia fate of the furious,je kuna sehemu naweza pata huduma hiyo?
Nyumba za sinema zimebaki Dar tu. .
Kule Mwanza kulikuwa na Liberty na sikumbuki nyingine ilikuwa inaitwaje zote RIP
Kigoma - Kigoma talkies
Arusha?
Mbeya hata sijui kama iliwahi kuwepo
Morogoro - Shani sinema kama sikosei, ukawa ukumbi wa taarab
 
Arusha?
Mbeya hata sijui kama iliwahi kuwepo
Morogoro - Shani sinema kama sikosei, ukawa ukumbi wa taarab
Arusha ni Habari Nyingine..

1. Century Cinemax Njiro(Hii ina hadhi ya Kimataifa)

2. Aim Mall Arusha....Wana Cinemax yenye hadhi ya Kimataifa hata Dar Hakuna..

Arusha ni International City kukosa vitu hivi ni kufuru kwa Mkoa huu
 
Nyumba za sinema zimebaki Dar tu. .
Kule Mwanza kulikuwa na Liberty na sikumbuki nyingine ilikuwa inaitwaje zote RIP
Kigoma - Kigoma talkies
Arusha?
Mbeya hata sijui kama iliwahi kuwepo
Morogoro - Shani sinema kama sikosei, ukawa ukumbi wa taarab
Tivoli sinema Mwanza ,siku hizi ni hotel na studio
 
HAIJULIKANI MJINI NI WAPI. SAWA WANATUMIA MATOFALI YA KUCHOMA ILA TOPE LA NINI NA HAKUNA WA KUJENGA MAGOROFA YAKAPENDEZESHA MJI.
Hahahahaaaa,,, nataman nifahamu uko wap mkuu coz inaonkan na ww unakutan na hii adha ya kulinganisha mbeya na majiji km MWANZA au ARUSHA coz ukikutan na mtu wa Mbeya ambaye hajawai kuishi majiji km Mwnza na Arusha atakubishia kiasi kwamb utatamn umlipie nauli mwend wote akajionee
 
Nyumba za sinema zimebaki Dar tu. .
Kule Mwanza kulikuwa na Liberty na sikumbuki nyingine ilikuwa inaitwaje zote RIP
Kigoma - Kigoma talkies
Arusha?
Mbeya hata sijui kama iliwahi kuwepo
Morogoro - Shani sinema kama sikosei, ukawa ukumbi wa taarab
Mwanza ukumbi wa sinema uko pale Rock city mall
 
SINEMA MBONA ZIPO NYINGI HATA JONGO PAPAI MKAA NI SINEMA TOSHA
 
Mbeya pauongo sijui kwani I hawaanzishi movie theater naona wanafungua tu vituo vya mafuta
 
Back
Top Bottom