Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

Ndio utupe majibu hapa Mkuu, mfano hapo jengo la rock city mall mbona niliona parking zimejaa, kila anaezama ni ndinga unaanzAje kusema pa low class, pamoja na yote hayo ni paboooovu, taja hapa kiwanja hot Mwanza! Disco kali, vyakula full, ma Dj hot, na huduma mbali mbali. Otherwise utakuwa umeponda ila huna suluhisho
Rockbottom GC pale
 
Ebu msaidie tutani hapa
njia nyepesi.. .. achukue dereva tax pale pale the cask.. wampe maelekezo.. ila ndio atapasuka.. ila atapata mtoto mkali sana hata wa kula kama samaki 😅😅😅 wale wanawajua vizuri sana wadada..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom