binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,341
- 45,465
Limeisha hilo.Utanipa namba ya boda anaepafaham kwa Mama.
ππ Nimejaribu kukumbuka nimecheka sana.Niteseke sio, ila una hila sana. Ndio maana kuna siku ulinipeleka sehemu mchana lakini kuna giza kama sebule ya jehanam. Nilikaa kama nusu saa ndio macho yakaanza kuona kwa mbali.
Si ndiooo!Yote kwa yote, siku iliisha vizuri.
Nalala, Yanga tumeshinda, nini tena zaidi ya hapo? Hata hii baridi inavumilika.Limeisha hilo.
ππ Nimejaribu kukumbuka nimecheka sana.
Si ndiooo!
Ulale sasa!
acha utani, puma ni kijijiniPuma.
Kwani kijijini hawafugi bataacha utani, puma ni kijijini
Kuanzia saa10 hadi saa3 usiku uende Mbalamwezi agu kuanzia saa5 hivi hadi Dawn uwe Narina Night ClubHabarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja
Natanguliza shukran.
Nilikaaga Singida miezi 3, nakumbuka nilioga mara nne au tanoπππBaridi kali ilikuwa.Nilikuwa napenda kwenda kwenye mnada wa mbuzi weekend. Aisee unakula nyama hadi unakinai.Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja
Natanguliza shukran.
Baridi ya Singida ubashundwa kuoga uko serious kweli Mkuu!?Nilikaaga Singida miezi 3, nakumbuka nilioga mara nne au tanoπππBaridi kali ilikuwa.Nilikuwa napenda kwenda kwenye mnada wa mbuzi weekend. Aisee unakula nyama hadi unakinai.
Mkuu mi na baridi ni paka na panya na sikuwahi kukaa sehemu yenye baridi. Nilikutana nayo Singida, jua la saa nane nilikuwa naburudika nalo.Baridi ya Singida ubashundwa kuoga uko serious kweli Mkuu!?
Labda. MKUU ila nipo hapa Naoga DailyMkuu mi na baridi ni paka na panya na sikuwahi kukaa sehemu yenye baridi. Nilikutana nayo Singida, jua la saa nane nilikuwa naburudika nalo.
PAKALI sana sisi tunavunja kuku na kushangaa neema ya vitoto vizuriIla singida daaah!!!
Wana utelezi mtamu ukikutana na wanyaturu pure sijui wana asali ya nyuki gani wana mnato mzito kama grease la Boeing Max π«©π«© unaweza penda kwa one night kaziIla singida daaah!!!
Singida sio sehemu sahihi kula bata mkuu , focus makuku kuna kuku wengi kuliko watuHabarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja
Natanguliza shukran.