Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Mnachekesha.

Unadhani mzungu anakutakia mema au yeye anajali maslahi yake binafsi ndo maana anajaribu kutafuta ushawishi ndani ya nchi.

Amkeni nyie waafrika mnasikitisha sana.
Ndio maana tulifanywa watumwa.

NB: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za vyama vya kisiasa.
 
Wao wana uchaguzi kesho, jana tu walikuwa wanataka kukataa kura zaidi ya laki mbili na elfu ishirini za watu weusi kutoka wilaya ya Harris huko Texas; atafundishaje watanzania kuhusu haki ya kura wakati wao wenyewe hawazijui?
 
Achana na polojo hizo za wapigania uhuru wa afrika
 
Nchi haina maendeleo? Mkoloni aliacha hizi barabara? Hospital shule za kata ? Pumbafu
 
Waje watushushie mabomu labda akili itatukaa! Na ikiwezekana wasaidie kutuanzishia vikundi vya ugaidi ili tuheshimiane!!
wazazi wako ndugu zako mkeo na watoto wako.
Wakipigwa hayo mabomu au hao magaidi wakiwakata vichwa hadharani pamoja na wewe.
Unadhani utapata hiyo heshima unayoitaka?

Au unadhani magaidi na mabomu yanachagua nani wa kulipua au wa kumkata shingo?
 
Trump kasema hana Imani na kura zinazopigwa kwa njia ya posta huko US na ikitokea akashindwa atajitangaza kashida
 
Kama watu waulaya hatoingilia kati kwanguvu zote basi malengo ya vyama vingi kumpa nafuu wananchi yatakuwa hakuna nakama ikitokea hivyo kura yanwananchi haiwezi pata heshima nibora vyama vingi vifutwe
 
Bora hawa wameongea kitu cha maana.
Tuanze upya na tuletewe watu watakao unda tume huru ya muda.

Baada ya uchaguzi huru na haki tutaunda yetu iliyo huru.
 
Marekani nikuwakataa tu Kama walivyokataliwa na Kim Jong Un na maisha bado yanaendelea.
Wasenge Sana hao jamaa.
 
Haya yote hayana ushahidi ila kama yapo naamini yanazungumzika na kufikia muafaka cha msingi ni kila pande kujishusha na kukaa meza moja ila sio kuhamasisha vurugu mitaani kumbuka asilimia kubwa hatuna chama
 
Kati ya chaguzi zilizokuwa na AMANI kubwa kabisa ni huu!!!! Wasiokuwepo kwenye uchaguzi badala ya kuwasikiliza WAANGALIZI WA UCHAGUZI Wao wanachukua matamko ya upinzani na kuwa ndo yao!!!
 
sawa
 
hahahaha daaah wana chadema bana! hakuna uchaguzi unarudiwa + wote wakina sugu, lema , mbowe ndo mwisho wa siasa zao za maji taka
Siasa za maji taka zipo CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi ni siasa za maji taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…