Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Naomben jaman me naitwa edward masanja na nimechaguliwa umbwe boy's high school lakin katka shule niliyomalzia joining instructions bado hazijafka hvyo naomben mnisaidie tarehe ya mwisho wa kuripoti katika shule hiyo! ntashukuru sana jaman nisaidien
 
mnatakiwa kuripoti kuanzia tar 14-28 septemba
 
Back
Top Bottom