jabilili jonasy
New Member
- Aug 29, 2015
- 1
- 0
masela na mimi mniangalizie jamaa yangu anaitwa jali changamike yakitoka mniinform
masela na mimi mniangalizie jamaa yangu anaitwa jali changamike yakitoka mniinform
Masela....!!!!!!???!!???masela na mimi mniangalizie jamaa yangu anaitwa jali changamike yakitoka mniinform
Jabilili jonasy,rekebisha kauli zako hakuna MASELA huku sio FB,sawa kaka eeenh?
mwiteni aje aombe radhi humu
bado hazijatoka tu?
jamani wakuu m nina 2.1 lakin phy d chem d bios b geog d his c kiswah c engl b civ b math e bt kwny selform nimejaza cbg na pcb je? naweza kuchakuliwa comb hizo au ndo ntachaguliwa hkl bt m napenda cbg! wakuu msada wenu wa kimawazo unaitajka
taarifa nilizopata ni kuwa muda wowote kuanzia sasa post zitakuwa hewani so msichoke kuingia tovuti ya tamisemi mda wote
Jamani wana jf yakitoka mnijulishe 0767279830. MSAADA PLEASE
hahahahaha haaaaaaa