swytie love
Member
- Jan 30, 2014
- 75
- 5
statistics? kaumia
Kwann umesema hvo ikoje
statistics? kaumia
Kwann umesema hvo ikoje
ajira mamii zipo chache kweli
statistics? kaumia
Tena kaumia kwelikweli mm nimesoma iyo kitu tangu mwaka 2007 mpaka now year sina kazi nabangaiza bangaiza tu mtaani
Jmn kwan haswa inahusika n nini hyo couse
Ni course ya kijingajinga tu kaka, ila kama anaenda kusoma ili awe na degree ya kufanyia siasa hapo sawa ila mathematics inamuusu sana lakini hakuna kazi kitaa, kama anaweza atafute shughuli za kufanya angojee mwakani ok
Ok sawa bt vp unailewa couse ya compture science ya udom iko vp ktka swala la ajira
Ok sawa bt vp unailewa couse ya compture science ya udom iko vp ktka swala la ajira
Ok sawa bt vp unailewa couse ya compture science ya udom iko vp ktka swala la ajira
Ni nzuri sana coz unaweza kujiajili pia, ila kuna coz moja pale udom inaitwa heath information system ipo poa na akipiga na umaskini kauaga
Sawa asante sn
Jaman ndo bas tena nshamjazia bt vp kuhusu computer science engeenerng ya udom ikoje
sasa kama umeshamjazia unauliza nini hapo na utamjazia vipi mtu course hauijui ama kweli simba hakikosa nyama ula nyasi
Karibu sana dodoma me ndo nipo pale baada ya kusoma statistic na kuona sina kazi now nasoma information system security hapa udom
Karibu sana dodoma me ndo nipo pale baada ya kusoma statistic na kuona sina kazi now nasoma information system security hapa udom