swytie love
Member
- Jan 30, 2014
- 75
- 5
Relax mama. Nilitumie 3 hours kureapply, and 3 days kusubr my. Hii CAS was shut down ijumaa and imerushwa jana jioni,
Asante sana
Relax mama. Nilitumie 3 hours kureapply, and 3 days kusubr my. Hii CAS was shut down ijumaa and imerushwa jana jioni,
namimi nataka kujua but i think inakuwa kama 1st selection tujaman ivi ukishafanya 2nd round profile inabidi isomaje,
Jamani msaada mwisho wa reapplication TCU ni lini?
Ahsante@kivule
Hakuna sehemu isiyo na changamoto acha kubwabwaja!watakomaa na kumaliza,kwani ww ulitumia uchawi?Ukimkataza mtu kufanya A inabidi umuoneshe plan B,mnawatisha tu bila kuwapa plan nyingine ambayo kimsingi haipo maana vyuo vimejaa.ww siujiulizeee swali kwann hvyo vyuo had sasa havijapata watu wakati watu waliofaulu ni weng hivyo vyuo ni vibovu sanaa mm nimesoma KIU na nimeacha matatzo kibaoooo mtajutaaaa ila nendaaa maaana mnaweza sema tunawabania nendeni kwann watu wasiviseme vyuo vingine kama muhas cuhas kcmc au kairuki....jiulize halafu huyo mtu anakuja anatikwa na povuuuu anasema watu malimbukeniii pole sanaa ukwel ndio huo kama huamini apply utajua huko mbele
Hakuna sehemu isiyo na changamoto acha kubwabwaja!watakomaa na kumaliza,kwani ww ulitumia uchawi?Ukimkataza mtu kufanya A inabidi umuoneshe plan B,mnawatisha tu bila kuwapa plan nyingine ambayo kimsingi haipo maana vyuo vimejaa.
jaribu kuomba kozi zilizobaki katika chuo unachokipenda ata iwe ya ovyo, lakini katika chuo unachokipenda ukifika uko unabadili kozi unaenda unayotaka kwenda ila muhimu uwe na cut off point kubwa kuliko aliyechaguliwa wa mwisho ktk iyo kozi unayotaka hamia.....ahsante.