Second Round Application TCU

Second Round Application TCU

mi nasoma kozi ya non priority ila ya science na mkopo nnao 100%
 
Msaada jamani eti kuna vyuo ambavyo mnavijua ninavyoweza kufanya application direct chuoni kwa course ya MD?
 
Mbona majina mengi sana ya wanaotakiwa ku-reaply halafu asimilia karibia 100 ya vyuo vya serikali vimejaa hasa kwa upande wa sayansi.
 
Msaada jamani eti kuna vyuo ambavyo mnavijua ninavyoweza kufanya application direct chuoni kwa course ya MD?

mpaka kwa njia ya transfer labda, tcu wakisharuhusu transfer unapeleka barua chuoni wakikukubalia unapeleka tcu wanakupa admission, vyuo vya private almost vyote huwa M.D ina nafasi ata 20 za reserve kwa ishu kama hizo, mwaka jana waliowah walipewa tena ata ukiwa na three kama chuo wamekukubalia tcu hawasumbui.
 
Wadau hv mtu mwenye 4 ya brn pcm anasomea degree na kwa couse gan maana nina ndg yng yy yupo kwa waliokosa vyuo na hajui atajaza nn second round msaada tafadhari kimawazo
 
Hapana hawezi kusoma degree,ili usome degree unatakiwa uwe na principle pass mbili,
 
Wadau hv mtu mwenye 4 ya brn pcm anasomea degree na kwa couse gan maana nina ndg yng yy yupo kwa waliokosa vyuo na hajui atajaza nn second round msaada tafadhari kimawazo

anasoma, kama ana d-2 yaani poiti 2 (e=0.5, d=1, c=2 n.k) kwahyo akiwa na hzo point mbili nakuendelea zpo baadhi ya kozi atakazokidhi vigezo na atasoma, fuatilia tcu-guide book.
 
Hzo d2 anazo afu alvologin kwa ac yake vyuo n couse zlzobak n km ifm IT atiii ataweza pata pia n bachela of science in statistic cjui udom
 
Asante nimemjazia bachelor of science in statistics lkn hatujui inahusika n nini haswa pia ki upande wa ajira hii couse iki vp
 
Back
Top Bottom