Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
jaman kwa anaejua anijibu ,vp kuhusu bachelor of edctn in arts UDOM?
Ni course ya kijingajinga tu kaka, ila kama anaenda kusoma ili awe na degree ya kufanyia siasa hapo sawa ila mathematics inamuusu sana lakini hakuna kazi kitaa, kama anaweza atafute shughuli za kufanya angojee mwakani ok
Yaani unasoma degree ya pili ili uajiriwe hizo pesa za kusoma degree ya pili ni bora ungezitumia kama mtaji ukajiajiri ila kwa vile akili ya inawaza kuajiriwa utasoma degree nyingi sana.
Unayejiita kikoozi acha mara moja kupotosha watu,tambua kwamba Jf ni platfoam ambayo watu wanachukulia kama chanzo muhimu cha habari,sasa mihemko na ujuaji mwingi usiona tija kwa wengine utapotosha watu,sio lazima ujibu vitu usivyo vijua tafadhali badilika na acha utoto humu kuna kaka,baba,dada,mama na watu wa rika tofauti..heshimu jukwaa.
Nakuja huko mkuu nilichagua nursing na bsc in chemistry nimepita round ya kwnza kwa hyo nipokee UDOM mkuu
Hivi ukiiondoa tume ya takwimu . TBS.(Tanzania bureau of stastic), twaweza , reset , na synovate pamoja na TMA. Hawa watu waliosoma statistics ni wapi pengine wanaweza ajiliwa?.
chemistry inakuhusu, nursing idadi ni ndogo so inacompetition sana, ukiweka coz ya competition na nyingine yenye less competition unakuwa umewarahisishia kazi.
Wakasome wakanyanyaswe au we hujui yaliyotea St. Joseph Arusha tuulize sisi tunaoijua st Joseph sio unakurupuka kuchangia wakati hujui lolote
Usijisahau maana ulichokisema jana umesha kisahau.
Ukweli ni kuwa kama wewe ni mzembe wa kusoma na kuhudhuria darasani usije kwenye hivi vyuo maana wana test, assignment na mitihani mingi kuliko vyuo vingine nchini.Wanaoenda kwenye hivi vyuo mjipange kama ni sharo jipange kabla ya kwenda.
Jamn nimemeapply tumaini unibersty makumira vp bachelor in computer science and information technology hii iko vp
Yaani unasoma degree ya pili ili uajiriwe hizo pesa za kusoma degree ya pili ni bora ungezitumia kama mtaji ukajiajiri ila kwa vile akili ya inawaza kuajiriwa utasoma degree nyingi sana.
Safi sana ipo pouw sana
jaman nimeapply second round nimepata UDOM bachelor of education in arts (nimetoka HGL) ,ndo ilikua na nafasi juzi ,vp iko vizuri? na vp ina priority? kwa anefaham.
jaman nimeapply second round nimepata UDOM bachelor of education in arts (nimetoka HGL) ,ndo ilikua na nafasi juzi ,vp iko vizuri? na vp ina priority? kwa anefaham.
non priorityjaman nimeapply second round nimepata UDOM bachelor of education in arts (nimetoka HGL) ,ndo ilikua na nafasi juzi ,vp iko vizuri? na vp ina priority? kwa anefaham.
Afu vp st joseph couse ya computer scnc end engeenerng
non priority
nimeulizia hyo ina priority...non priority
nimeulizia hyo ina priority...