duh!! kuna jamaang hakuapply mwanzoni anasumbuka sana naomba mwenye kuelewa anisaidie
Yes...ana uwezo wa kuapply, info zaidi fuatilia Official news kwnye website ya TCU inayohusu "second round".
duh!! kuna jamaang hakuapply mwanzoni anasumbuka sana naomba mwenye kuelewa anisaidie
tangazo la TCU ndo lmesema hvyo ,cyo mimi! uliza m2 yeyote.
wamesema "chance will be given to higher performers first" sasa unafikiri hao higher performers ni akina nani kama cyo wenye GPA nzuri?? nisahihishwe kama npo wrong.Kwani wameandikaje kwa mfano?
wamesema "chance will be given to higher performers first" sasa unafikiri hao higher performers ni akina nani kama cyo wenye GPA nzuri?? nisahihishwe kama npo wrong.
civil udsm watu 64nmepata sawa nao point 10.5 ila mm 1round nmekosa udsm, now 2round wameleta tena civil nimeomba hapo hapo udsm watu 35 wanahtajka, vipi wadau naweza nkapata?
utapata boy ,maana compitition kwa kias chake imepungua...hope utaenda 2civil udsm watu 64nmepata sawa nao point 10.5 ila mm 1round nmekosa udsm, now 2round wameleta tena civil nimeomba hapo hapo udsm watu 35 wanahtajka, vipi wadau naweza nkapata?
wamesema "chance will be given to higher performers first" sasa unafikiri hao higher performers ni akina nani kama cyo wenye GPA nzuri?? nisahihishwe kama npo wrong.
keypoint yangu ni ufaulu mzuri ,haijalish mwombaji yupo kwny mfumo wa GPA au la..nadhan umenipata.Hiyo sio GPA ndugu bali ni cut off points ktka 3 core subjects, huko nyuma gs & bam ulikuwa mwendo wa s tu hata upige 100% wakat nyinyi sio, sasa hapo unahesabu vp GPA kwa mtu ambaye sio brn? Emu nenda kapitie guide book ya TCU kama utaona neno GPA.
higher performers ni wenye kuanzia points ngap?Hiyo sio GPA ndugu bali ni cut off points ktka 3 core subjects, huko nyuma gs & bam ulikuwa mwendo wa s tu hata upige 100% wakat nyinyi sio, sasa hapo unahesabu vp GPA kwa mtu ambaye sio brn? Emu nenda kapitie guide book ya TCU kama utaona neno GPA.
keypoint yangu ni ufaulu mzuri ,haijalish mwombaji yupo kwny mfumo wa GPA au la..nadhan umenipata.
higher performers ni wenye kuanzia points ngap?
aya poa mkuu..Mwenye point nying kwenye masomo matatu ukiondoa gs na bam.
aya poa mkuu..
cjaona jina lako lakin prove zaidi au ingia kwenye profile lako
Kwani kwenye profile unaona nini?
mbona mimi hua naangalia profile sioni kitu jipya?
NILIAPPLY KUPITIA NACTE