Second Round Application TCU

Second Round Application TCU

kama jna langu mkuu...

Mhh...?? Mbona point ulizopiga ni kubwa sana alaf wamezinguwa

Oky may be ni guess, itakuwa o-level uliwapigia 'D' kwenye physics coz nimeona kuna makamanda walifanya kweli advance alaf wakabaniwa chance kwa kasababu kadogo cha o-level kutowapa 'C' waliyokuwa wanaihitaji
 
nope! mkuu o'level nna B zote kwenye pcm yangu,,, kuna washkaj nlwaona had O'level nmepga nao sawa pa1 na Adv. lakn ndo hvyo tena mm wamentupa labda coz nltoka skul za kata
 
Kata wanathaminiwa kishenzi
Ila ucwaze,unaezakuta vyuo vinagawana makamanda ambao n mafighter

Bt kama 2nd round ulikichaguwa tena bac una % nying za kuchukuliwa,
 
pa1 mkuu tuombeane maana private ctaweza gharama...
 
Back
Top Bottom