Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
Kwa wale wa 2nd round TCU kuna chance imetolewa ya kuchagua vyuo na kozi zingne 5 badala ya only one chance kama ilivyo mwanzo ,priority will be given to higher performers ,in merit basis...
Kwa wale wa 2nd round TCU kuna chance imetolewa ya kuchagua vyuo na kozi zingne 5 badala ya only one chance kama ilivyo mwanzo ,priority will be given to higher performers ,in merit basis...
waliofaulu sana, na wenye vigezo zaidSamahn in merit basis wanamaansha nn haswa
Pia to higher performers ts means mtu mwenye 4 pass2 hana priyort y kuchaguliwa
honestly 1round imebeba wenye distinction na merit ya 3.3 kwa asilimia kubwa ,ingawa wapo waliobakia wenye distinction ila cyo weng ,kwahyo kama wewe una walau GPA ya kuanzia 3 na kuendlea unachance kubwa kwny huu mchakato niliouelezea.Samahn in merit basis wanamaansha nn haswa
Pia to higher performers ts means mtu mwenye 4 pass2 hana priyort y kuchaguliwa
Kwa wale wa 2nd round TCU kuna chance imetolewa ya kuchagua vyuo na kozi zingne 5 badala ya only one chance kama ilivyo mwanzo ,priority will be given to higher performers ,in merit basis...
Kwa hiyo mkuu ile "first comes first served basis" haitatumika kabisa kwenye hii second round au?
itakuwa wanafanya ili wazijaze coz zilizobaki manake wamesema wanaangalia ufaulu, huenda raia wakaweka 5 af wakachaguliwa priority za mwisho mwisho ambazo zimekosa watu, mtu anaweza akafanya hivyo kutokana na wasiwas tu wa kukosa ile moja, first come first hapo haipo sasa, ni tano kama mwanzoni baada ya deadline zinafanyiwa kazi, sa sijui itakuwepo 3rd round,
honestly 1round imebeba wenye distinction na merit ya 3.3 kwa asilimia kubwa ,ingawa wapo waliobakia wenye distinction ila cyo weng ,kwahyo kama wewe una walau GPA ya kuanzia 3 na kuendlea unachance kubwa kwny huu mchakato niliouelezea.

yeah ,wanangoja 2nd round ikamilike ,nafikiri muda wowote after 30 september wataachia majina na vyuo 2lvyochaguliwa...na hapo bado HESLB nao wanataka kufanya yao.Daaah hvi majina ya first round hayatok mpk sec yakamilike au
ajaribu 2 maana kombi yake kdg itambeba ,na sahv 2nd round applicants cyo weng sanah ,so compitition cyo kivle! ajarbu kuapply atapata 2.Maskn jmn ndg yng ana 4 pass2 ya pcm na anataka couse za computer science au engeneerng cjui itakuajee daah
Maskn jmn ndg yng ana 4 pass2 ya pcm na anataka couse za computer science au engeneerng cjui itakuajee daah
Unasikitika nn wakati deadline ishapita subiri mwakani lowasa atakapoingia madarakani
Deadline gan. Wkt mpk trh30
honestly 1round imebeba wenye distinction na merit ya 3.3 kwa asilimia kubwa ,ingawa wapo waliobakia wenye distinction ila cyo weng ,kwahyo kama wewe una walau GPA ya kuanzia 3 na kuendlea unachance kubwa kwny huu mchakato niliouelezea.
tangazo la TCU ndo lmesema hvyo ,cyo mimi! uliza m2 yeyote.Acha kudanganya watu nani kakwambia selection ya TCU wanaangalia GPA? Selection ina base kwenye cut off point zako kwenye masomo matatu ambayo ni basic na wala sio GPA, Ingekuwa wanaangalia GPA je na wale waliomaliza kabla ya BRN ambao gs & bam ilikuwa hata upate 100%unaandikiwa S tofauti na brn ambapo unakuta kuna A, B+, C nk za GS na BAM? So points zako ndo zitakubeba na wala sio GPA.