Second interview NSSF

Second interview NSSF

Kusema ule ukweli kabisa nssf bado kuna zengwe kuhusiana na hii 2nd written interview.

Kuna watu 30 wameajiriwa kutoka ktk ile written ya ifm tar 13 dec 2014.
I don't know hao 30 walitumia vigezo gani but walitoka ktk ile written ya ifm.
 
Una uhakika unayoongea ,sio kweli kabisa hawajaajiri bado
 
Hivi hii ni matokeo ya mchujo wa aptitude test ya pale ifm au ndo test 2?
 
Mie nimepigiwa just now...wamenambia 2nd interview jumamosi saa tatu IFM na wamenipa na serial number
Jana walinitumia msg without Namba...so wale ambao wamepata msg without namba wasikate tamaa they will call you to let you know na kama hawajawapigia j'mos muwahi maeneo walowatajia lazima watakuwa na list ya watu walowatumia msg....TUMUOMBE MUNGU ATUSIMAMIE KATIKA HILI maana ni balaa

balaa kuitwa kwenye usaili? bora tu usipate hiyo kazi ili uepuke hilo balaa
 
0718575251 ndio no yenyewe

Na mm nimepigiwa hiyo wakuu.
Jamani mbona idadi ya wasiliwa bado ni kubwa sana km ilivyokuwa ile interview ya kwanza jamani.
Isije kuwa wanarudia tena usaili ule wa kwanza labda ulikuwa na mushikeri wakuu?
 
Mimi nilipigiwa saa 1 na dakika kadhaa jioni,akaniambia napiga simu kutoka NSSF ,dada akaniuliza unaitwa fulani,nikamjibu ndiyo,akaniambia unatakiwa ufike kwa Interview ya pili ya NSSF itafanyika DUCE namba yako hii xxxx,mda hakunitajia akakata simu,naomba waliambiwa waende DUCE wanijurishe time waliyoambiwa wao,Tafadhali nisaidieni nipo Ruvuma now.

Morning tu no anymore mzaz
 
Mungu awaongoze katika mapambano haya kW a kila mmoja wenu na mpango wake yeye ajuaye kesho yetu
 
mambo ya HR haya silaumu, lakini wangeangalia na factor ya gharama pia, sio wote wanajiweza kusafirsafiri mara mbilimbili wengine hadi bibi auze pombe, hivyo wangeiangalia hata factor ya kipato cha wabongo pia, jingine nahisi kama wameita watu wote waliofanya interview ya kwanza,sasa hii maana yake nni???mana kama hadi watu wanapewa namba ya 5000 ujue hapo kuna mushkeri,
am sure something, somewhere is not in order
 
Na mm nimepigiwa hiyo wakuu.
Jamani mbona idadi ya wasiliwa bado ni kubwa sana km ilivyokuwa ile interview ya kwanza jamani.
Isije kuwa wanarudia tena usaili ule wa kwanza labda ulikuwa na mushikeri wakuu?
Unasema idadi imekuwa kubwa sasa wewe ulitaka nani aachwe kama vipi wewe usiende ili wawe wachache.
 
Back
Top Bottom