Kijacho Jr
Member
- Dec 23, 2014
- 53
- 14
Hatimae wamenipigia simu mchana huu jumamosi niende kwenye interview ya pili
Kwa hiyo mkuu tujiandaaje?
Au kibishi bishi tu hvo hvo plus uzoefu..maana watu wenyewe hawapo clear
plz muulize pia itakuaje written mara mbili watueleweshe
hawa jamaa ni wababaishaji sana aisee,hata mwaka 2011 walifanya written mara mbili
ss wanarudia mtihani ule ule au mwingine?
apptitude txt tna for the second tym hii sytem cjawahi ona kwa kwl
nmepigiwa simu kwa ajili ya interview ya pili jmos hii Duce Changombe
Mungu wangu tra chini, nssf chini huu mwaka jaman
Mie nimepigiwa just now...wamenambia 2nd interview jumamosi saa tatu IFM na wamenipa na serial number
Jana walinitumia msg without Namba...so wale ambao wamepata msg without namba wasikate tamaa they will call you to let you know na kama hawajawapigia j'mos muwahi maeneo walowatajia lazima watakuwa na list ya watu walowatumia msg....TUMUOMBE MUNGU ATUSIMAMIE KATIKA HILI maana ni balaa
Mimi nilipigiwa saa 1 na dakika kadhaa jioni,akaniambia napiga simu kutoka NSSF ,dada akaniuliza unaitwa fulani,nikamjibu ndiyo,akaniambia unatakiwa ufike kwa Interview ya pili ya NSSF itafanyika DUCE namba yako hii xxxx,mda hakunitajia akakata simu,naomba waliambiwa waende DUCE wanijurishe time waliyoambiwa wao,Tafadhali nisaidieni nipo Ruvuma now.