Second interview NSSF

Second interview NSSF

Hapa ni shida kweli, mm nipo zanzibar nilipigiwa jana mida ya saa moja hivi ucku nikaambiwa interview duce, ilaa wanabowaa sana interview mbili written, bt nackiya kawaida hawana oral
 
Mmmmhh hivi wanahitaji watu wangapi? Mbona wanatutesa ivi jamani! Kaaaah!
 
Hivi wadau kuna mtu ameachwa kweli ule usaili wa kwanza?
 
mimi sikufanya kabisa ile ya kwanza na wameniita tena hii ya pili,hawa jamaa hawajajipanga kabisa
 
Wadau mm wameniambia ibtavyuu ni j3 ,je kuna mtu yeyote kapangiwa kama mimi?
 
hv wameanza rasmi lini kuita maana mm nlipigiwa jmos sa tatu uck na namba ya ofcn bt ckupokea kwa wakati na namba ambayo nmeona hapo ni tofauti na nliyopigiwa cjui niamini ipi ni changamoto kwakwel
 
its obvious tunarudia usahili hamna cha interview ya pili. kilichobadilika ni venue zimeongezeka bac.
 
Interview ile ya kwanza ilikuwa hivyo hivyo hawakuntumia no., cha msingi ni kuwahi siku hiyo na kuwafata wahucka huwa wanatoa hizo no. siku ya interview kwa wale ambao hawakutumiwa, kama walivyofanya ile ya kwanza

jamaa walinipigia jana jioni walinipa namba ya interview inaonekana wanatuma text kama kutoa taarifa kwanza then wanaanza kupiga kwa ajili ya kutoa namba nafikiri hata walikokuwa na tatizo kama langu soon before saturday watakuwa wamewapigia.
 
hv wameanza rasmi lini kuita maana mm nlipigiwa jmos sa tatu uck na namba ya ofcn bt ckupokea kwa wakati na namba ambayo nmeona hapo ni tofauti na nliyopigiwa cjui niamini ipi ni changamoto kwakwel

walianza jumanne kupigia watu bt yawezekana waliokupigia jmos na namba ya ofcn ilikuwa ni moja ya feedback za application zako ulizofanya sehemu zingine pengine walikuwa walikuwa wanakutafuta for interview. so kama unajua umetega sehemu nyingi bac uwe active na simu yako muda wote ucje kosa opportunity wakapigiwa waliokuwa sub ama mbadala.
 
jamaa walinipigia jana jioni walinipa namba ya interview inaonekana wanatuma text kama kutoa taarifa kwanza then wanaanza kupiga kwa ajili ya kutoa namba nafikiri hata walikokuwa na tatizo kama langu soon before saturday watakuwa wamewapigia.

Mimi wamenipigia leo na wamenipa namba yao, all the best mkuu
 
Kwa nilivyoeleweshwa nssf wanafanya haya mambo hivi.
Interviews ziko kama ifuatavyo.
1 . General knowledge - written
2 . Fully understanding of the post position an the fund in general - written
3. Oral interview. This will check your confidence. English. And general understanding of the fund. Nssf.
Hayo ndio ninayoweza kuwajulisha ndugu zangu.
 
Shukrani kwa dondoo mkuu hope zitanipa pa kuanzia
 
mimi sikufanya kabisa ile ya kwanza na wameniita tena hii ya pili,hawa jamaa hawajajipanga kabisa

inasemekana kuwa ile ya kwanza haikuwezekana kushahishwa! so inasemekana wameita kila aliyeomba kama awali!
 
Back
Top Bottom