Second interview NSSF

Second interview NSSF

Hivi hii system ya two written interviews ndio kawaida yao au mwaka huu ni mara ya kwanza? Wazoefu wenye ujuzi tujuzeni!!
 
Mimi wamenambia tu kwa interview ya pili hawkunambia kama oral au written? Sasa cjui inakuaje hapo...
 
hta mm niliambiwa njoo interview ya pili ifm saa 3 ss cjui ni oral au written intajua hko hko
 
Inakuwaje wengine tumetumiwa sms ya kuitwa lakini hatujapewa serial number?
 
Kwa hiyo mkuu tujiandaaje?
Au kibishi bishi tu hvo hvo plus uzoefu..maana watu wenyewe hawapo clear
 
Inakuwaje wengine tumetumiwa sms ya kuitwa lakini hatujapewa serial number?

Mtapigiwa nikichukua uzoefu wa interview ya kwanza...ukiona kimya fika eneo la tukio mapema huwa wanakuwa nazo serial za watahiniwa wote.
 
295745330 ni namb ya ofs ilitumika ku sms, then nili pata sms nyngne kutoka 0653297257 na bado nilipigiwa cm kwa namba 0684995056.....ila namba zipo nying sio hiz tu

mimi nimepigiwa kwa 0712684864
 
Mimi wamentumia meseji tu bila kupiga simu wakisema ni saa tatu asubuhi tarehe 10 jan 2015 ifm

hata mie wamenitumia meseji tu sasa cjui utaratibu wa namba utakuwaje maana kuna mshkaji wangu walimpigia wakampa na namba kabisa kama ilivyokuwa 1st interview.
 
hata mie wamenitumia meseji tu sasa cjui utaratibu wa namba utakuwaje maana kuna mshkaji wangu walimpigia wakampa na namba kabisa kama ilivyokuwa 1st interview.

Interview ile ya kwanza ilikuwa hivyo hivyo hawakuntumia no., cha msingi ni kuwahi siku hiyo na kuwafata wahucka huwa wanatoa hizo no. siku ya interview kwa wale ambao hawakutumiwa, kama walivyofanya ile ya kwanza
 
Utakiwi kufika siku ya tukio unatakiwa hata leo pale HQ ili ujue kinachojiri mkuu hope siku ya tukio watakuwa bize sana kama vp twendezetu kuna mtu amenipa angalizo hilo
 
plz muulize pia itakuaje written mara mbili watueleweshe
 
Utakiwi kufika siku ya tukio unatakiwa hata leo pale HQ ili ujue kinachojiri mkuu hope siku ya tukio watakuwa bize sana kama vp twendezetu kuna mtu amenipa angalizo hilo

Kwa leo mambo tyt kidogo mkuu, ntawachek 2mrw nkipata nafasi kama ulivyosema the sooner the better
 
Back
Top Bottom