KoreaKaskazini
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 219
- 51
inasemekana kuwa ile ya kwanza haikuwezekana kushahishwa! so inasemekana wameita kila aliyeomba kama awali!
Pia inawezekana lakini ngoja nisikupe 100% chukua 45%
inasemekana kuwa ile ya kwanza haikuwezekana kushahishwa! so inasemekana wameita kila aliyeomba kama awali!
Nilitaka waachwe watu kama wewe na mimi.
Ata mm nimepigiwa niende duce lakini siendi usaili gani unarudiwa mara mbili
inasemekana kuwa ile ya kwanza haikuwezekana kushahishwa! so inasemekana wameita kila aliyeomba kama awali!
inasemekana kuwa ile ya kwanza haikuwezekana kushahishwa! so inasemekana wameita kila aliyeomba kama awali!
Wameita kama awali halafu wameteua wakufanya oral direct???