Second interview NSSF

Second interview NSSF

WENGiNE WAMEAMBIWA NI ORAL INTERVIEW NA WENGINE WANAAMBIWA NI WRITTEN, TATIZO NI KWA WAPIGA SIMU NA WATUMA SMS au NI KWELI KUTAKUWA NA INTERVIEW ZOTE MBILI KWA MAKUNDI MAWILI TOFAUTI?
 
hongereni wakuu na nawatakia mafanikio mema,,, MUNGU awabaliki
 
Hata mimi nilipigiwa jana, ila nikatumiwa na sms, ingawa namba ilionipigia haikufanana na ilionitumia sms zote zilinipa exam number zinazofanana. Bado usiku nikapata tena official sms iliotumwa kwa namba ya ofis ila haikuwa na serial number. Cha kushangaza kwenye interview ya kwanza number yangu ilikuwa kwenye elf 2 na kitu, na sa hv imekuwa kwenye elf 3 na kitu, ina maana wasahiliwa wameongezeka. Then kinachonishangaza ni kufanya written interview kwa mara ya pili ila what ninaamin kila jambo jema hupangwa na Mungu ngoja tuhudhurie tuone mambo yataendaje.
 
Tuambiane basi wadau ni namba gani iliyowapigia cz hata mm nimekuta miss call jana jioni mida ya saa moja......nawasilisha
 
Nimepewa na serial no na nimeambiwa ni written niende na kitambulisho tu pale ifm jmosi
 
mm nilikuta missed call 0758044910 nikapiga tna hakupokelewa wakanipigia tna wakanipa serial mwazoni nilikua elfu 5 nw nipo elfu 2, mbona hii interview haeleweki written mbili.
 
0768 140 686 mm nilikuta miss call ya namba hii nikapga nikakuta iko bize sana kama saa moja hivi labda leo niwacheki tena
 
mm nilikuta missed call 0758044910 nikapiga tna hakupokelewa wakanipigia tna wakanipa serial mwazoni nilikua elfu 5 nw nipo elfu 2, mbona hii interview haeleweki written mbili.

Ilikuwa kama saa ngapi hv? Muda waliokuchek?
 
walinicheki mida ya saa 12 jioni hvi nikaja kuipiga tna saa tatu ikwa busy then ikanipigia tna after abt 10 min hvi
 
wacheki tuu, mm mwenyewe niliwacheki ndo akanipigia tna
 
inamaanisha wale watakao fanya written na oral maswali ni hayo hayo ila wengine wanaandika wengine wanaongea duuh hii ni mpya
 
295745330 ni namb ya ofs ilitumika ku sms, then nili pata sms nyngne kutoka 0653297257 na bado nilipigiwa cm kwa namba 0684995056.....ila namba zipo nying sio hiz tu
 
Back
Top Bottom