Second interview NSSF

Second interview NSSF

Mdogo wangu kapigiwa kaambiwa anaenda kufanya oral interview ifm saa tatu, amepewa na serial number.
Je, inamaana kuna ambao watafanya written ya pili na ambao watafanya oral interview? ambao mmeitwa kwenye hiyo second written, mmepewa serial number? number yake yenyewe ni elfu moja na kitu inamaan kutakuwa na watu wengi tena this time. Kila la kheri, mkafanikiwe.
cc: momo05 kalikumutima duet calisy Planner tony montana
 
Last edited by a moderator:
supuyamawe
Mi sijapewa serial no.pia nimeambiwa second written int.pia it might depend on position applied..mi operation officer ..
Labda kuna position wao wanafanya oral..itafahamika.!
 
hawapo serious hao watu, dogo nae anapiga position hiyo hiyo Operations Officer lakini kaambiwa ni oral interview na kapewa serial number walimpgia simu.
 
oral tunafanya ifm? au tupo wengi na kwa nn tunapewa serial number, hta mm nimepewa serial number
 
namie nimekuta missed call zao no ngani wanatumia?
 
Mdogo wangu kapigiwa kaambiwa anaenda kufanya oral interview ifm saa tatu, amepewa na serial number.
Je, inamaana kuna ambao watafanya written ya pili na ambao watafanya oral interview? ambao mmeitwa kwenye hiyo second written, mmepewa serial number? number yake yenyewe ni elfu moja na kitu inamaan kutakuwa na watu wengi tena this time. Kila la kheri, mkafanikiwe.
cc: momo05 kalikumutima duet calisy Planner tony montana

Mdogo wako aliapply position gani ?
 
Last edited by a moderator:
tutumien no iliyowapigia ili tujue tuliokuta missd call kama yenyewe
 
Mwingine katumiwa hii " Dear Applicant, you are invited for a second written interview to take place at IFM in Dar es Salaam on Saturday 10/01/2015 at 9:00am"

mimi mwenyewe nimetumiwa meseji tu kama hiyo yako....kwahiyo mtihani huu hauna serial number kama ule wadau??
 
hivi wataendelea kuita?
kama niko bukoba nikapigiwa alhamis jioni, time interval ya ijmaa na jmos haitaruhusu kufika wakati muafaka! unajua tena mambo ya mabasi sisi wakulima..
 
supuyamawe
Mi sijapewa serial no.pia nimeambiwa second written int.pia it might depend on position applied..mi operation officer ..
Labda kuna position wao wanafanya oral..itafahamika.!

hata mimi nimetumiwa meseji pia na sijapewa serial number na hiyohiyo written ss sijui vipi......inavyoonekana hapa wengine wamepewa wengine hawajapewa number.
 
Back
Top Bottom