Scotland: 'No vote' haina maana 'No change'

Scotland: 'No vote' haina maana 'No change'

Wananchi wa Scotland walipewa nafasi ya kuwa independent. Wakakataa kuwa independent from United kingdom.

independent

adjective 1. not influenced or controlled by others in matters of opinion, conduct, etc.; thinking or acting for oneself: an independent thinker.

2. not subject to another's authority or jurisdiction; autonomous; free: an independent businessman.

3. not influenced by the thought or action of others: independent research.

4. not dependent; not depending or contingent upon something else for existence, operation, etc.

5. not relying on another or others for aid or support.

6. rejecting others' aid or support; refusing to be under obligation to others.

7. possessing a competency:

Sasa jamani mnachotaka kusema ni nini? Hamuoni hata aibu?
 
kila siku tumekuwa tukizungumza hapa juu ya hatima yetu ya muungano. Mie nasemai kwann uwepo ugumu katika kuirudisha tanganyika ambayo iliuwawa kimazingira?

sawa mwl kwa nafasi yake alifikia hapo alipofika katika kuutengeneza Muungano. na ukweli ni kwamba yeye na mzee wetu Karume tutawasifu kwa hilo. Lakin nafikir kazi ya kuurekebisha huu Muungano mbona sasa ni kazi ya wengine tuliopo kwa sasa?

unless kama watu tumesahau yaliyotokea wakati wa kuanzishwa kwa vyama vingi, watu tulihofia machafuko mpaka mwl aliposema wapeni watu kile wakitakacho baada ya kura maoni kuonyesha hilo. Naamini hata mwl angekuwepo lazima angeridhia leo hii mawazo/maoni ya wanachi yapewe kipaumbele.

hata hii england tunayoisemea miaka 300 sio midogo, na huenda ile misingi iliyoasisi Muungano wao haipo tena baada ya kuonekana kwamba aipapply na hivyo wamekuwa wakirekebisha kila mara hadi kufikia leo.

ilichokifanya scotland ni mfano mzuri kwa sisi tulio leo ambao pengine tu wadogo sana since mara ya mwisho walipofanya marekebisho.

sisi hatuupingi muungano na wala hatujawah kusema tunataka uvunjike ila tunataka marekebisho kwamba kila nchi ibaki kuwa tawala binafsi ila iwepo serikali ya muungano ambayo itatukutanisha.

lakin kwenye mambo ya nchi binafsi yabaki kuwa ya nchi binafsi?
Thank you.
Hoja za wapotoshaji ni kuwa Tanganyika itavunja muungano.
Hoja ya pili ya upotoshaji ni Scotland imekataa kuvunja muungano.

Tupo hapa kuweka sawa hoja hizi za wababishaji kwasababu ni wazuri sana wakificha ukweli.
Umesema ya Nyerere na Karume, mimi naongezea kuwa UK ina miaka 300 na sasa wameona umuhimu wa kusikiliza sauti zote za Scotalnd, Wales, England na Ireland. Wanajua muungano ni maridhiano.

Hawa kuvunjika muungano kwao ni jambo gumu ukilinganisha na sisi
Sisi ni nchi mbili, moja ikiwa na kila kitu chake, nyingine ikiwa imefichwa lakini ikibeba mzigo mzito sana wa muungano.

Hiyo iliyofichwa inanyimwa fiscal autonomy zake, ndio maana Cameron amesema ni lazima sauti za wengine zisikilizwe tena akisema haraka. Kwetu sisi sauti za Watanganyika zimepuuzwa sana ili kuhalalisha namna znz inavyoweza kuendelea kuwa tegemezi kwa gharama kubwa.

Ni gharama kubwa sana kuiweka znz kuliko kuhudumia mikoa 10 ya Tanganyika yenye kila zaidi ya mara 10 ya znz.

Hapa ndipo sauti za Watanganyika zinapopaswa kusikilizwa, kinyume chake Watanganyika watachukua hatamu na hatima za nchi yao. Hapo muungano utavunjika haraka sana, ni nchi mbili tu, Tanganyika ikisema basi ndio mwisho.

Kutokana na znz kuendelea kubebwa kama Scotland, England inapata nguvu sana na Cameron ameliona hilo.
Huku kwetu Warioba aliliona mapema sana wakamwita msaliti.

Hivi tunavyoandika ni kwamba, mwamko na nguvu ya kudai Tanganyika ni kama wimbi, ipo siku watu watathibitisha maneno haya. Na siku hiyo Tanganyika itazinduka kwa kasi na muungano ukifa kwa speed kali sana.
 
Wananchi wa Scotland walipewa nafasi ya kuwa independent. Wakakataa kuwa independent from United kingdom.

independent

adjective 1. not influenced or controlled by others in matters of opinion, conduct, etc.; thinking or acting for oneself: an independent thinker.

2. not subject to another's authority or jurisdiction; autonomous; free: an independent businessman.

3. not influenced by the thought or action of others: independent research.

4. not dependent; not depending or contingent upon something else for existence, operation, etc.

5. not relying on another or others for aid or support.

6. rejecting others' aid or support; refusing to be under obligation to others.

7. possessing a competency:

Sasa jamani mnachotaka kusema ni nini? Hamuoni hata aibu?
Ina maana hata yule mwenye Power anaweza kudai Independence..kutoka wapi?... itajulikana mbele - Ya mume kaomba talaka!
 
Ina maana hata yule mwenye Power anaweza kudai Independence..kutoka wapi?... itajulikana mbele - Ya mume kaomba talaka!
United Kingdom ni Unitary na haiwezi kuwa federal kwa sababu Monarchy ya UK haiwezi kuwa federated.

Scotland, Wales, Northern Ireland na England haziwezi kuwa federated. Hakuna kiongozi aliyesema hilo na hakuna nia hiyo. waingereza hawatatengana watabaki kuwa unitary. haya mengine ni siasa tu.
 
najua niifanya kautani kwa wabia wa Federation..nimewawekea hawa jamaa hadi link waisome wenyewe wajifunze lakini wapi!
 
Hivi Kobello unadhani kwa mantiki hiyo siye kama tanzania tunaweza basi kuishukulia scotland kama mfano kwa tanzania?
sisi ni jamhuri ya muungano, lakin pia muungano wetu mbona hautupi usawa?

kinachoniumizaga kila siku ni hiki, kama kweli tunaipenda tanzania kwanini haya mambo ya MUUNGANO tunayachukulia kama lelemama?

binafsi kwanza sisi kujiita tanzania bara ni makosa makubwa ikiwa Zanzibar hawajiiti tanzania visiwani. istoshe sijawah kuona popote pale tanganyika ilibatizwsa nakua tanzania. ingawa baada ya muungano liloitafutwa jina la kukasimu muungano uliopo.

swali la kizushi kabisa hivi twaweza kusema tanganyika ilikofia? ama je muunganno ulikuja ili kuua tanganyika yetu?

hivi lakin uko wapi usawwa ama iko wapi haki ikiwa mmoja kati ya mwanandoa atakua mtwa na mwingine awe mtwana? na je inaonekana vipi shida kuirudisha tanganyika, na zanzibar ikawepo af ikawepo jamhuri ya muungano?
mbona scotland imebaki kama scotland, mbona england imebaki kama england? kwan sisi tuone hilo sio la kuiga?
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3.
Nikushukuru kwa kuanzisha mjadala wa kufikirisha na kuwaalika baadhi ya member toka chama tawala na wengineo kuja kujadili. Ninavyo elewa wale wenzetu wa upande wa watawala hawatakuja kwasababu mijadala ya wazi kama ya kushindanisha hoja hawaipendi na haram kushiriki!

Moja ya sababu zinazo niumiza sana moyo wangu ni kuona ni idadi ndogo ya Watanzania wanajali ni nini kinaendelea na kama Taifa tubaelekea wapi!? Wengi wako busy mtaani wakipiga deal na siku mambo yakiharibika wataanza kushangaa! Na zaidi ni vijana.

Wanao ongoza hujuma dhidi ya Katiba ya Wananchi ni wazee wezi,mafisadi na waroho wa madaraka! Wengi wao sidhani hata miaka 10 ijayo watakua hai! Lakini wanaliachia taifa la kesho vita! Ninge tarajia ktk hili ndipo tungeona tofauti kati ya UVCCM na mafisadi wazee wanao inajisi Rasimu yetu ya Katiba.

Nimalizie kwa kuwa onya vijana walioko CCM kwamba inawezekana kabisa haya makosa huko mbeleni itakua zamu yao kuyarekebisha tena kwa kuvuja damu nyingi miaka hiyo chama chao kipo Upinzani!
 
United Kingdom ni Unitary na haiwezi kuwa federal kwa sababu Monarchy ya UK haiwezi kuwa federated.

Scotland, Wales, Northern Ireland na England haziwezi kuwa federated. Hakuna kiongozi aliyesema hilo na hakuna nia hiyo. waingereza hawatatengana watabaki kuwa unitary. haya mengine ni siasa tu.
Cynics will always exist; Hawana muda wa kuangalia objectively UK Imetoka wapi, Leo Ipo wapi, na inaenda wapi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
najua niifanya kautani kwa wabia wa Federation..nimewawekea hawa jamaa hadi link waisome wenyewe wajifunze lakini wapi!
Tumeweka hoja za Cameron ili zijadiliwe. Wengine tumejaribu kuzieleza, wenzetu hamtaki hata kusikia.

Hivi leo unawezaje kusema Uingereza itabaki kuwa Unitary katika kura 45 to 55%

Cameron amesema wanatoa mamlaka, kamteua William Hague na mwenyekiti wa iliyokuwa jumuiya ya madola kuendesha mchakato wa kutoa mamlaka kwa washirika wengine, wenzetu hawaoni hao.

Kwa hali yoyote, Cameron ameongea kama kiongozi wa taifa, sisi ni ubabaishaji tu.
Kwa hali hiyo tunakoelekea ni kubaya. Hakuna mjadala kuhusu Tanganyika, mjadala ni lini itatakuwa
 
Cynics will always exist; Hawana muda wa kuangalia objectively UK Imetoka wapi, Leo Ipo wapi, na inaenda wapi.
Eti tukieleza tunaambiwa tuna chuki. Tumewapa darsa, hawana hoja. Tumewapa video ya Cameron wengine hata kingledha sijui kama inakuwaje, anyways. Eti kasema England ichukue majukumu ya nchi washirika kama Tanganyika. Cameron hajatamka wanamwekea maneno.
Tumewatafsiria wanasema eti Tanzania imeshapita huko.

Kama tungekuwa tumepita huko UK walipo choko choko za nini sasa hivi?

Halafu wanasema kuiongezea mamlaka znz hakupunguzi kitu Tanganyika. Hawasema ni kuongeza mzigo kwa Tanganyika.
Mwaka 2010 wameongezewa na kujiongezea madaraka wenyewe kwa katiba yao, leo kuna makamu wawili wa Rais amabo wanalipiwa gharama zao hadi za ndege za kubeba mkaa na Watanganyika. Wenzetu hawaoni hilo.

Hawataki kusikia Tanganyika kwa kujua hilo litaondoa utegemezi wa znz.
Sisi tunataka Tanganyika tupumue, tutue zigo la mbole ya mboji tusioifanyia kazi hata siku moja.
 
United Kingdom ni Unitary na haiwezi kuwa federal kwa sababu Monarchy ya UK haiwezi kuwa federated.

Scotland, Wales, Northern Ireland na England haziwezi kuwa federated. Hakuna kiongozi aliyesema hilo na hakuna nia hiyo. waingereza hawatatengana watabaki kuwa unitary. haya mengine ni siasa tu.
Siku ukisoma historia ya UK utajuata kwanini umeandika haya. Utatamani uchutame na kutumia majani kujisitiri.

Cameron na video ipo hapo, tuelezeni kasema nini mnachodhani ni usanii kama wa mzee
 
Hivi leo unawezaje kusema Uingereza itabaki kuwa Unitary katika kura 45 to 55%

Unajua percentage zinawapa wapotoshaji uwanja wa kuendeleza hoja zao; ungewauliza hivi:

Kura za hapana = 2,001,926
Kura za Ndio = 1,617, 989

Hii ni tofauti ya kura chini ya laki nne; je viongozi wa UK Hawaoni athari iliyopo iwapo watafanya mzaha? Kumbuka, hawa sio Watu wa Kupiga kura kwa kuhongwa kofia, khanga na miche ya Sabuni; kwa Watu wa jamii hii, mambo hayapiti Kama "upepo" tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo lipo wapi Zanzibar kudai chake, hata kama mafuta hayadhibitika kuwepo?
Uzembe wa Watanganyika kudai haki zao isiwe sababu ya kusema legitimate demands za Wanzibari ni za kitoto When UN comes knocking to map out the maritime boundaries of Tanganyika and Zanzibar will no longer be in doubt then who has the last laugh.

Well the song we are singing in Dar is not the same as the one you are singing there. Where are legitimate demands you are talking about, oil which in not there? We do have rights, we do not need more rights, what is at stake here is mainland monies spoon feeding those who fight for a right to be spoon fed.
 
Rasimu ya Warioba imetupwa. Iliyopo ni ya CCM na Samwel Sitta.

Wakati bunge linaanza Sitta alisema kuna mambo mengi mazuri ya kushughulikia kama kuwapa wazanzibar nafasi zaidi katika muungano, kuwapa wafugaji na wakulima fursa zaidi ndani ya katiba.

Ukisoma rasimu ya Chenge, kila jambo alilosema Sitta ndilo limefanyika. Kuwapa wazanzibar pipi na peremende.
Wakati huo huo kuhakikisha Tanganyika inafutika.

Njia ya kuhalalisha katiba ya CCM ya mafichoni ni Sitta kukusanya maoni kwa wakulima 17 na wafugaji 23 halafu kutengeneza katiba waliyosoma jana.

Hawa watu wanatufanya majuha kama ulivyosema. Hata hivyo huu ndio mwanzo wa mwisho.

D.Cameron kasema anashughulikia matatizo ya Wales, northern Irelanda.
Cameron akasema, England imeachwa katika mjadala wa kitaifa na ni wakati nao wasipuuzwe kama wanavyopuuzwa Watanganyika.

Kwa kadri CCM inavyowafanya wananchi majuha, muungano unakaribia sana kuvunjika.
Kwasasa hoja si Zanzibar, ni kurejea kwa Tanganyika katika hadhi yenye mamlaka, utamaduni na value zake kama ambavyo Cameron ameonyesha njia kwa Wales, England na N.Ireland.

Kinyume cha uwepo wa Tanganyika ni kuvunjika muungano.Hilo si mjadala tena ni suala la wakati.

hebu tuanzie hapa jana mahakama imesema kwamba bunge la katiba linatakiwa kurekebisha katiba ya warioba tu na sio kutengeneza rasimu ingine sasa je mpaka hapo hili bunge lina uhalali wa kuendelea kuwepo?

unajua rais ameshaona moto na ukweli ni kwakua anajua hana jinsi kwasasa mambo yamemkalia pabaya na hajapata washauri wazuri kwenye mwenendo wa siasa kwa sasa.

kwanza waliposema mambo ya muungano yamekuwa sijui 14 badala ya 7, nashangaa sana kwann sisi tanganyika tuiogope zanzibar kuliko ambao ni sawa na ka mkoa kamoja ka tanganyika na kusahau mikoa yetu?

kuna mambo ambayo hatuyajui umeme zanzibar tunawalipia, maji hivyo hivyo, na hata chuo wenzetu wasoma kwa unafuu kuliko sisi lkn sisi tunakaa kimya. cha ajabu zaid wa zanzibar hawatak kuskia tunaidai tanganyika yetu wanafikiri jinsi watakavyopata tabua na kuona waendelee kukaa kwenye ndoa inayotuumiza sasa leo tumechoka mie ni miongoni mwa wanaosema wazi tunaitaka tangnyika yetu.
 
Ndugu,
Hukumu ya Mahakama Kuu, Kanda ya Dar haikusema kama ulivyoweka katika msingi wa hoja yako.

Ieleweke kuwa Pingamizi lao la kwanza la Kutaka Bunge lisimamishwe wakati kesi yao inaendelea kusikilizwa, lilikataliwa ambapo mahakama ilisema Bunge Maalum liko kisheria na katika sheria hiyo litaendelea.

Habari hiyo ililipotiwa hapa, gonga kama unataka kuisoma,

Madai ya pili ya kutaka tafsiri sahihi ya kifungu cha 25 (1-2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 yamepatiwa majibu pia na Jopo la Majaji hao watatu ambao ni Jaji Augustino Mwarija, Dk Fauz Twaib na Aloyisius Mujuluzi.

Akisoma hati ya amri ya mahakama Jaji Augustino Mwarija kwa niaba ya majaji watatu waliosikiliza shauri hilo, amesema kumekuwepo na Utata katika kifungu cha 25(1) na 25(2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011 katika lugha mbili zilizotumika kuandika sheria hiyo. Na kusema kuwa kutokana na kifungu hicho kinalipa mamlaka Bunge Maalum la Katiba kuijadili rasimu ya katiba, kubadili au kuboresha na kuwa Bunge hilo lina mipaka kwa kuzingatia kifungu cha 9(2) cha sheria ya mabadiliko ya katiba.

Akizungumza baada ya amri hiyo nje ya mahakama kuu Wakili wa Saed Kubenea, Peter Kibatala amesema wanafurahi kuona mahakama imetoa maamuzi kwa wakati na kueleza kuwa tafsiri iliyotolewa ni katika kusaidia wananchi kupata katiba iliyotokana na maoni yao.

Mipaka ya kuzingatia katika kutunga Katiba mpya kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kwenye Kifungu cha 9(2) ni kama ifuatavyo,

9(2) Katika kutekeleza masharti ya kifungu kidogo cha (1), Tume itaongozwa na misingi mikuu ya kitaifa na maadili ya jamii ya kuhifadhi na kudumisha mambo yafuatayo:
(a) kuwepo kwa Jamhuri ya Muungano;
(b) uwepo wa Serikali, Bunge na Mahakama;
(c) mfumo wa kiutawala wa kijamhuri;
(d) uwepo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar;
(e) umoja wa kitaifa, amani na utulivu;
(f) uchaguzi wa kidemokrasia wa mara kwa mara katika vipindi maalum kwa kuzingatia haki ya watu wote wenye sifa ya kupiga kura;
(g) ukuzaji na uhifadhi wa haki za binadamu;
(h) utu, usawa mbele ya Sheria na mwenendo wa sheria; na
(i) uwepo wa Jamhuri ya Muungano isiyofungamana na dini yoyote na inayoheshimu uhuru wa kuabudu.

Nakala ya hukumu hii hapa,
1.jpg

2.jpg
 
Mchambuzi
Warioba hakupewa jukumu la kutengeza katiba,yeye kazi ilikuwa ni kukusanya maoni tu na wala maoni hayakuwa ndio kauli ya mwisho.wewe unapaswa kuipongeza serikali kwa jitihada zake za kutengeneza katiba muafaka itakayokidhi haja zote za muungano, CCM inafanya kile ninachoamini na nyie UKAWA fanyeni kile mnachoamini wananchi ndio waamuzi wa mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Unajua percentage zinawapa wapotoshaji uwanja wa kuendeleza hoja zao; ungewauliza hivi:

Kura za hapana = 2,001,926
Kura za Ndio = 1,617, 989

Hii ni tofauti ya kura chini ya laki nne; je viongozi wa UK Hawaoni athari iliyopo iwapo watafanya mzaha? Kumbuka, hawa sio Watu wa Kupiga kura kwa kuhongwa kofia, khanga na miche ya Sabuni; kwa Watu wa jamii hii, mambo hayapiti Kama "upepo" tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Asikudanganye mtu mkuu.
Hata Uingereza Kura zinaibiwa vilevile.

Tazama hapa

http://www.davidicke.com/headlines/...estminster-rigged-scottish-independence-vote/

It has been confirmed that the names of 10 people were already crossed off a voter list prior them voting inside a polling station.

According to reports, the Glasgow City Council confirmed that there were ten cases of suspected electoral fraud occurring at polling stations following the Scottish referendum vote on the 18th. As authorities have been investigating thousands have gathered outside in George Square, Glasgow, which has been dubbed “Independence Square,” in the time leading up to the vote.
 
Mchambuzi
Warioba hakupewa jukumu la kutengeza katiba,yeye kazi ilikuwa ni kukusanya maoni tu na wala maoni hayakuwa ndio kauli ya mwisho.wewe unapaswa kuipongeza serikali kwa jitihada zake za kutengeneza katiba muafaka itakayokidhi haja zote za muungano, CCM inafanya kile ninachoamini na nyie UKAWA fanyeni kile mnachoamini wananchi ndio waamuzi wa mwisho.

Unachosema ni kweli mkuu. lakini CCM wanataka Katiba itakayo linda maslahi yake. Maslahi yake yanakuwa mbele na yale ya Tanzania yanafuata. Hii hali, kwa mtu yoyote mwenye uchu wa madaraka ni jambo la kaiwada, lakini ni kuweka precedent mbaya sana, ya maslahi binafsi kuwa mbele ya maslahi ya Taifa.

Hatuwezi kusema katiba ya Samuel Sitta ambayo ukusanyaji wake wa maoni ni less representative na less scientific, ukawa justified kuliko ule wa Jaji warioba. Ni lazima mtu awe mjinga kukubali hilo, awe awe na financial au political interest kukubaliana na hilo.

Ukitaka kujua kuwa Rasimu ya Jaji warioba ilikuwa inawakilisha maoni malalamiko ya watanzania wengi, angali vipengele vilivyoondolewa. Hapo ndio utajua kuwa vilio vyetu vyote vinatupwa, Katiba ya Sitta inarudisha muungani nyuma kuliko hata ya sasa.

does it make any sense makamu wa kwanza, makamu wa pili, makamu wa tatu....does it mean we will have a lame president???
 
Hawa watu walisikia kuna madebe 37 wakakimbia BLW kuatungia shariaya kuyaondo katika muungano
Wakiyapata hata kusikia neno Tanganyika kule kwao itakuwa niharamu na kosa la jinai.

Huyo anayesema mafuta yanaelea ni sehemu ya jamii tunayoishinayo, tv za rangi na umeme wa meli, ndio maana tunasema , hapana! Tunataka Tanganyikayetu
JK alichokifanya ni kuwafurahisha bila kujua anaudhi wenyemuungano
Leo nguvu ya Tanganyika ni kubwa sana kuliko wakatimwingine.

Na kadri yanavyotokea kama ya rasimu ya Sitta na CCM ndivyo hasira zaWatanganyika zinapanda Zaidi.

Kamsikilize Cameron halafu umsikilize JK katika issue yamuungano!
Sisi si masikini wala si nchi masikini, tuna umasikini wauongozi wa nchi

Ndugu hoja yako ni nzuri mno lakini kitendo chako cha kufanya dhihaka kwa Wazanzibar hicho hatuwezi kukivumilia.

Unapoleta dhihaka ya umeme wa meli, TV ya rangi huo sasa ni uhayawani.

Mzanzibar anapojisifia hivi vitu kuwa walikuwa navyo kabla ya Tanganyika ni kuonyesha kabla ya muungano huu Zanzibar ilikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi na kijamii katika kufanya mambo yake ya maendeleo Kama nchi! Au leo umesahau au unajifanya hujui kuwa NJAA ilipowazidi watanganyika nyerere alimtuma amiri Jamal Zanzibar kwenda kuomba msaada na wazanzibar wakampa, jee leo Zanzibar inao tena uwezo huo!!??? Hapana.

Baada ya muungano huu wa kishenzi Zanzibar kama nchi imebakia jina tu huku ikipoteza haki zake zote za msingi Kama nchi.

Zanzibar leo haina uwezo wa kusaidiwa na wahisani katika msaada wa kibajet, haina uwezo wa kukopa nje, haina uwezo wa kujiunga na mashirika au jumuiya za kimataifa "mfano OIC" taasis za kimataifa za michezo n.k

Vyote hivi vimefanywa kuwa mambo ya Tanganyika pekee kupitia koti la muungano! Chochote kinachokuja Tanzania kwa jina LA Tanzania huishia tanganyika bila ya Zanzibar kuambulia chochote kile!

Karibuni tu hapa serikali ya Japan ilitoa msaada wa mbolea kwa TZ tani zisizopungua tani 15000, Zanzibar haikupelekewa hata paketi moja sikwambii tani moja! Nini maana ya hili!!!???? Ni kuwa Tanzania ni Tanganyika na hili alilifanya nyerere maksudi kuifuta Zanzibar.

Hebu nikuulize kidogo nilini Zanzibar imepewa Faida ya biashara ambayo yeye katoa mtaji kuianzisha ya Benji kuu, jee hiyo asilimia 4.5% ambayo Tanganyika waliipanga kuipa Zanzibar kama mgao wa muungano jee wanapewa.

Ikiwa kweli watanganyika wanataka Tanganyika yao hebu tuoredheshee juhudi ambazo hadi sasa wamezifanya kupata Tanganyika yao!! Au mnaitaka Tanganyika yenu mukiwa humu JF tu, maana wazanzibar siku zote wako wazi, na wala hawana kificho kuidai Zanzibar yao! Hadi wengine kufikia kubambikiwa kesi ya ugaidi na kuwapa mateso makubwa ili kuwatisha wengine!

Kweli watanganyika wanaitaka Tanganyika yao!!!??? Watu hawana juhudi yeyote ya kuuondoa utawala ambao unawazuia kukipata wanachokitaka! Hawapigi kura na hao wanaopiga kura hawalindi kura zao!!! Jee mnafikiri mabadiliko yatakuja wenyewe kama homa ya malaria? Au hizi porojo humu JF zitawapa mabadiliko!?? SAHAU.

Usitake kutoa hadithi za bunuasi hapa.
 
Mkuu kuna siku nilishangaa sana jamaa mmoja ni Phd holder alikaa na kusema kuwa Zanzibar ina mafuta, na alisema ukienda pemba mafuta yanaonekana juu juu kabisa. Na hiyo ndio sababu iliyowafanya waamue kusema mambo ya madini yaondolewe kwenye suala la muungano........

JK amabaye has first hand info kuhusu map ya miamba ya Tanzania kwenye ukanda wa pwani (give the knowldge he aquired from being waziri wa nishati na madini), kwa furaha kabisa alikubali hoja hiyo kwa wazanzibar kwa kuwa aliona ni wazo na aimani ya kitoto.

Zanzibar iwe au isiwe na mafuta bado haliwafanyi wazanzibar wenye uchungu wa nchi kuacha kudai Zanzibar yao.

Hebu nikuulize kidogo raslimali zote mlizonazo watanganyika, jee zinamnufaisha vipi mtanganyika!?? Au manufaa yenu ni yale ya kufukiwa katika mashimo ya dhahabu bulyanhulu!!???
 
Back
Top Bottom