Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Dini bana madhehebu mengine wakitumia maji ya baraka ooh ooh sijui nini wanaabudu nini sijui.... dah ila sicker na hayo maji sio sanamu au??
Dada baki na imani yako. Hapa ni suala la uelewa tu ktk Roho Mtktf. Ni kawaida watu wa dini hii kuiponda dini nyingine bila kuangalia yao ina mapungufu gani. Mungu ni mmoja na njia ya mbingu ni moja-Yesu Kristu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums