dollar 50 ni pesa ndogo kwa kutamka lakini kwa shilingi yetu ni shs 100000/ kwa usawa huu wa magufuli ni nyingi sanBwana Yesu Asifiwe!
Nina wataarifu kuwa, kwa wale wamtumainiao Bwana...wale wenye shida mbali mbali na wale ambao wamekua wakimfuatilia Prophet TB Joshua via #Emmanuel Tv; kwa namna moja au nyingine wamekua na hamu ya kwenda SCOAN au kupata Anointing water, Sticker, Vitabu pamoja na DVD ; ofisi zipo Dar es Salaam, Posta #Jengo la Mkapa house, Ground floor- jirani na duka la nguo la Mariedo.
1. Utapata maelekezo jinsi ya kusafiri
2. Kwa wanaohitaji vitu tajwa hapo juu : vinapatikana hapo but kwa dolar 50. (50USD)
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na Dada Martha ambae ni agent wa SCOAN kwa hapa Tanzania kupitia namba +255755875201.
#Be aware of Fraudsters!!!!...TANZANIA INA AGENT MMOJA TU NA YUPO JENGO LA MKAPA HOUSE. OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.
hiyo ni biashara mkuu.Nakubaliana na wewe lakini usiseme ofisi zipo wazi kulingana na wateja,Sema kulingana na maitaji ya huduma itakaa vizuri zaidi kiimani
Annointing water tena nowadays? Mmmhhhhh.
Toa kwanza boriti........... Una sema nini kuhusu buying of indigences?Nina mashaka makubwa sana Juu ya mtajwa kuwa nabii.
Nenda ukajchukulie Maji ya Baraka bureee kanisa lolote la Catholic.
Hakunaga Maji ya upako(anointing water) huwez paka Maji,Maji tunakunywa na kuoga,kuna waliooga Maji yaliyobarkiwa na kuponywa maradhi ya ngozi ila Yale Maji mbali ya kabarikiwa yalitiwa chumvi.
Unapaka Mafuta. Sasa wapo wapakwa Mafuta Wa Bwana. Kama Samuel alivompaka Daudi. Ni kupakwa physically so hii mipako ya wireless.
Mkuu ni kweli yalifanyka makosa na yapo pengine yanayoendelea kufanyika ila hilo la indulgences za kulipia lilifutwa mwaka 1567. Soma mtaguso wa trentToa kwanza boriti........... Una sema nini kuhusu buying of indigences?
Ni pamoja na kununua misa kwa ajili ya marehemu, just in case you didn't know. Anyway, imani ni kwa mtu binafsiMkuu ni kweli yalifanyka makosa na yapo pengine yanayoendelea kufanyika ila hilo la indulgences za kulipia lilifutwa mwaka 1567. Soma mtaguso wa trent
Huwez nunua misa mkuu. Ww uljarbu kununua wakakuambia ni sh ngap?Ni pamoja na kununua misa kwa ajili ya marehemu, just in case you didn't know. Anyway, imani ni kwa mtu binafsi
Onyesha katika Biblia hayo uliyoyaorodhesha kuwa yalifanyika gharama zake ilikuwa kiasi gani? Kwanini mnapenda kupotosha maandiko kwa maslahi ya kimwili? Mungu anawaona!Elli: Mungu ananjia nyingi sana za kuonyesha nguvu zake. Kwahiyo sio kwa kusali au kusoma neno lake unaweza kuziona nguvu hizo. Nitakupa mifano kadhaa:-
1. Mtume Paulo enzi zake alikua akitumia aprons na vitambaa vya mikononi kuponya watu wenye shida mbali mbali. Ni watu wengi walienda kupata bidhaa zake. Lakini tambua...hawakupewa tu bure kwasababu vile vitu vilikua vikinunuliwa kwa gharama.Hapo utaona Mungu anajidhihirisha kupitia vitambaa vya mikono.
2. Mtume Peter, yeye alitumia kivuli chake kuponya watu wenye matatizo. I mean, akiwa kasimama au kukaa ukipita kwenye kivuli chake unakuwa safi kabisa.
3. Yesu pia aliweza kutumia Mate na Udongo kumponya mtu kipofu.
4. Tumeona hata baadhi ya watumishi kwenye Biblia wakitumia mafuta kuwapaka watu.
5. Leo hii, Prophet TB Joshua anatumia sticker na maji kuwaponya watu na kuwatatulia watu wenye shida mbalimbali kupita vyanzo hivyo.
Kumbuka ni gharama kutengeza na kuvisafirisha vitu hivyo.
[HASHTAG]#Kwanini[/HASHTAG] usiende SCOAN kwa miguu kutoka hapo ulipo kama kila kitu cha Mungu kwako ni bure?..simple!