jamani mbona tunakosoa imani za watu? hivi hamjui hata Daktari napokupa dawa ukinywa bila imani hauponi?
Wakristu mnakumbuka kuna jmaa mmoja aliponywa na Yesu na akaambiwa aende akanawe mto wa siloam ambao ulikua mbali na nako ishi, But mshkajai akawa najishauri na kujiuliza maswali kwanini asiniambie ninawe hapa hapa tu? but mwishowe akaenda kunawa katika mto whoiska na akapona.
When He had said this, He spat on the ground, and made clay of the spittle, and applied the clay to his eyes,
7and said to him, "Go, wash in the pool of Siloam " (which is translated, Sent). So he went away and washed, and came back seeing.
8Therefore the neighbors, and those who previously saw him as a beggar, were saying, "Is not this the one who used to sit and beg?"…
Elisha sent a messenger to say to him, "Go, wash yourself seven times in the Jordan, and your flesh will be restored and you will be cleansed."
Naaman's servants went to him and said, "My father, if the prophet had told you to do some great thing, would you not have done it? How much more, then, when he tells you, 'Wash and be cleansed'!"
hayo ni maajabu ya maji.