SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

GOODMORNING!!!
Kwa hapa Tanzania kuna Coordinators wa 3. Mama Consolata, Mama Nyoni na Marha. Mimi nilibahatika kwenda kwa kupitia mama Nyoni na kweli sikusumbuliwa kitu chochote kile na Mama Nyoni alikuwa muelewa sana kwangu.
Nilikwenda tarehe 11/6/2014 na kurudi 18/062014 kwa bahati ilikuwa ile week ya Birthday yake na New Annointing Water na Bracelet. Tulipewa kimoja kimoja kwa kila kichwa. Na Annointing Water tuliambiwa tusiuzee. Na itakuwa laana kwa anayeuza au kununua so please mtu asinunue maji hayauzwi. Ila tuliambiwa tuwape watu drop kwa kila anaye omba sasa inategemea chombo ulicho nacho. Kama ni pipa basi drop inatosha na maji yanakuwa na nguvu ile ile na kama ni lita moja basi pia drop inatosha na nguvu ni ile ile.
Kwahiyo Annointing Water mpya ipo ila itakuwa imekuja na wale watu walio kwenda kuanzia mwezi wa sita.
Bracelet pia walipewa wale waliokwenda kuanzia mwezi wa sita ila kila mtu alipewa moja. Ukiona kuna anaye uza basi jua sio ya kutoka Scoan.
Kuweni makini na Matapeli.

Mkuu hebu tupatie physical address ya mama Nyoni (ofisi zake zilipo). Nasikitika sana huyu Martha hana matendo yanayoendana na hudumu anazozitoa. Mwanzo nlidhani watu wanampakazia ila nimefika pale nimejionea mwenyewe.
 
Mimi nipo Arusha ila nitatafuta ofisi zake kwa dar zipo wapi then nitakuambia. Pole sana kwa yaliyokukuta. Hata mimi yalinikuta kama yako ila jitahidi kusamehe.
 
Mimi nipo Arusha ila nitatafuta ofisi zake kwa dar zipo wapi then nitakuambia. Pole sana kwa yaliyokukuta. Hata mimi yalinikuta kama yako ila jitahidi kusamehe.

sawa mkuu, ukizijua tufahamishe
 
sawa mkuu, ukizijua tufahamishe

Habari samahani kwa kuchelewa kutoa majibu. Nilipatwa na misiba ndio sababu.

Ofisi za mama Blandina Nyoni zipo Baraka Plaza mikocheni 3rd floor. Ukifika ulizia Sarah.
 
Habari samahani kwa kuchelewa kutoa majibu. Nilipatwa na misiba ndio sababu.

Ofisi za mama Blandina Nyoni zipo Baraka Plaza mikocheni 3rd floor. Ukifika ulizia Sarah.

Samahani je unaweza ukawa na mawasiliano yao yaani nikimaanisha namba ya simu
 
Hapo benjamin mkapa tower ukienda unaonyeshwa dharau na huyo mmama....mmmxxxuuuuu.....una mapepo wewe mama kaombewe kwanza ndio utoe huduma kwa wengine
 
bora mwende baraka plaza kwa mama blandina nyoni ndio habari ya mujini
 
mimi naomba msije kufanya hii kazi kama biashara au sehemu ya kujipatia kipato,huyu mtumishi wa Mungu Tb Joshua alishaonya mara nyingi juu ya kujipatia kipato kupitia kazi hii,angalieni msije mkapata laana bure,hii kazi ni ngumu na kama Tb Joshua hawalipi mishahara kwa kazi hii bora muache,,ni mtazamo wangu
 
Hapo benjamin mkapa tower ukienda unaonyeshwa dharau na huyo mmama....mmmxxxuuuuu.....una mapepo wewe mama kaombewe kwanza ndio utoe huduma kwa wengine

Kweli inauma na mimi nilipitia kwenye matusi dharau hiyo hiyo pale Benjamin Mkapa Tower. Ila ukienda Baraka Plaza kweli na kuhakikishia hutapata shida nimeenda SCOAN bila hata kuja dar. Mama Nyoni alikuja mwenyewe Arusha akatuhudimia tukiwa Arusha na akatuletea tiketi na passport zetu zikiwa na Visa Arusha.
Nenda Baraka Plaza na utapata huduma sahihi.
 
Huyo martha kaaya c mlisema mmebadilisha sbb za nyodo zake kwa wateja?

AIRE MAN usiombe ukutane na huyo matha utajuta!!! aliwahi kumfukuza bibi yangu na ukongwe wake sijui ndio laana amemwachia yuko kama mwehu pale oficn kwake
 
Last edited by a moderator:
kama Martha ana usumbufu, ebu Naomba ya Mama Nyoni

Bwana Yesu Asifiwe!

Nina wataarifu kuwa, kwa wale wamtumainiao Bwana...wale wenye shida mbali mbali na wale ambao wamekua wakimfuatilia Prophet TB Joshua via #Emmanuel Tv; kwa namna moja au nyingine wamekua na hamu ya kwenda SCOAN au kupata Anointing water, Sticker, Vitabu pamoja na DVD ; ofisi zipo Dar es Salaam, Posta #Jengo la Mkapa house, Ground floor- jirani na duka la nguo la Mariedo.

1. Utapata maelekezo jinsi ya kusafiri
2. Kwa wanaohitaji vitu tajwa hapo juu : vinapatikana hapo but kwa dolar 50. (50USD)

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na Dada Martha ambae ni agent wa SCOAN kwa hapa Tanzania kupitia namba +255755875201.

#Be aware of Fraudsters!!!!...TANZANIA INA AGENT MMOJA TU NA YUPO JENGO LA MKAPA HOUSE. OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.
 
samahani ya nini wakati unasema tunamsingizia, kwa hiyo sisi na akili zetu tumsingizie huyo Martha kuwa anaongea vibaya?? tena unazidi kunikera, maana wewe unaejibu ni huyo martha. Huna unalolijua wewe, stress za nyumbani kwako unatuletea sisi? msonyoooo, tutaenda kwa Blandina Nyoni tuu.mfyuuuu
 
Huyo martha ni mkorofi hatari hata kama una shida huwa hajigusi halafu ansongea vibaya nashangaa sijui ni Mungu gani anamuomba anatumia kivuli cha scoan kujipatia tu ulaji ila moyoni sidhani kama ana Mingu wa huruma
 
Bwana Yesu Asifiwe!

Nina wataarifu kuwa, kwa wale wamtumainiao Bwana...wale wenye shida mbali mbali na wale ambao wamekua wakimfuatilia Prophet TB Joshua via #Emmanuel Tv; kwa namna moja au nyingine wamekua na hamu ya kwenda SCOAN au kupata Anointing water, Sticker, Vitabu pamoja na DVD ; ofisi zipo Dar es Salaam, Posta #Jengo la Mkapa house, Ground floor- jirani na duka la nguo la Mariedo.

1. Utapata maelekezo jinsi ya kusafiri
2. Kwa wanaohitaji vitu tajwa hapo juu : vinapatikana hapo but kwa dolar 50. (50USD)

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na Dada Martha ambae ni agent wa SCOAN kwa hapa Tanzania kupitia namba +255755875201.

#Be aware of Fraudsters!!!!...TANZANIA INA AGENT MMOJA TU NA YUPO JENGO LA MKAPA HOUSE. OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.

Sanaaa.
 
Back
Top Bottom