#Be aware of Fraudsters!!!!...TANZANIA INA AGENT MMOJA TU NA YUPO JENGO LA MKAPA HOUSE. OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.
Mbona nasikia TBJoshua amechagua mawakala wengine TZ? NAsikia kwa sasa mpo watatu, sasa kwa wewe kusema coordinator yupo mmoja tu ina maana unaita wale wawili kuwa ni fraudsters makusudi. Tafadhali, check vizuri na SCOAN wakueleze kuwa mpo watatu. Hawa wengine wakienda kulalamika kuwa umewaita fraudsters nadhani nawe pia utasimamishwa kuwakilisha SCOAN hapa TZ.