SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

mbona kuna last edited au pc yangu mbovu... thats why im an atheist..
 
Najaribu kuangalia siioni hiyo last edited,ipo pande gani
 
Mkuu safari ya kwenda huko ni 1500 USD per person? Inajumuisha nini? Usafiri na malazi? Unakaa siku ngapi?
 
Jamani hapa Tanzania maji ya nabii Joshua yanapatikana wap?au kama hayapatikani process ya kuyapata ikoje?

Anti threads ambao mnaharibu thread za watu nimeuliza tuu yanakopatikana. Kama wewe ni anti thread lakin. Ivo sihitaji maelezo yako binafsi. Au maoni yako. Naomba kujuzwa location tuu. mengine keep for yourself.
Otherwise natanguliza shukrani watakaonisaidia hapo juu. Asante.
 
Matatizo yanapelekea with kuwafanya binaadamu kuwa miungu Dah wajinga ndo waliwao wajanja km tb Joshua wanatengeneza hela
 
Mkuu mawasiliano unatakiwa ufanye wewe na mungu wako ,maji ndio nini unapata dhambi mkuu na hawa ni wasanii tu kama yule wa mafuta ya upako dah sometimes kuwa na uwezo wa kufikiri ni vizuri
 
Nenda mbezi beach njia inayoelekea mbez beach high school mkono wa kushoto mwanzoni mwa njia utaona jengo limeandikwa VC TANZANIA LTD uliza hapo watakupa process za kuyapata! Pale muulizie Eng. Consolata Ngimbwa
 
Mkuu mawasiliano unatakiwa ufanye wewe na mungu wako ,maji ndio nini unapata dhambi mkuu na hawa ni wasanii tu kama yule wa mafuta ya upako dah sometimes kuwa na uwezo wa kufikiri ni vizuri

hyo jamaa falaaaa tu mkuu
 
Misukule iko mingi sana siku hizi kama huyu tayari washamkata ulimi huyu.
 
Kuna post ya mtu akikuelekeza maeneo ya Mbezi, inawezekana, ila mimi niliyapata pale Benjamin Mkapa Tower jirani na wanapooka mikate kwa USD 50. Kama umedhamiria basi usikatishwe tamaa na hao wanaopost za kejeli na kukatisha tamaa, ingawa ulishaweka angalizo. .........MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO!
 
Na mimi nataka kuwa msukule jamani nahitaji haya maji kwa nguvu zote, mkuu ulielekeza mbezi beach ahsante sana. mbona mlingotini watu wanaenda na wanafanikiwa? acha na sisi twende kwa Man of God TB Joshua.
 
Matatizo yanamfanya Binadamu apungukiwe uwezo wa kufikiri.
 
SIO Mbezi...
ni huko huko ulikosema mkuu
 
Na mimi nataka kuwa msukule jamani nahitaji haya maji kwa nguvu zote, mkuu ulielekeza mbezi beach ahsante sana. mbona mlingotini watu wanaenda na wanafanikiwa? acha na sisi twende kwa Man of God TB Joshua.

Mlingotini ni wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…