SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

Dolari tena jamani? Tena hamsa!! Maana sio hamsini hio sasa, ile sticker ya Let Love Lead ndio dolari hamsini??? Mmmhh lazima mtulipe VAT sasa jamani Kha!! Bibi yangu kavuta ndio tumemzika Jumamosi pamoja na kununua hizo sticker aaaghh please

Kumbe mtu akinunua sticker hizo au kutumis Anointing water anakuwa "kifo proof"?
 
Nabarikiwa sana na Nabii TB Joshua.
Najaanda kuhudhuria ibada ya maji ya upako katika kanisa la Ukombozi mwanza itakayoongozwa na nabii BG Malisa
 
Nabarikiwa sana na Nabii TB Joshua.
Najaanda kuhudhuria ibada ya maji ya upako katika kanisa la Ukombozi mwanza itakayoongozwa na nabii BG Malisa,tare he 30/03/2014
 
Bwana Yesu Asifiwe!


Nina wataarifu kuwa, kwa wale wamtumainiao Bwana...wale wenye shida mbali mbali na wale ambao wamekua wakimfuatilia Prophet TB Joshua via #Emmanuel Tv; kwa namna moja au nyingine wamekua na hamu ya kwenda SCOAN au kupata Anointing water, Sticker, Vitabu pamoja na DVD ; ofisi zipo Dar es Salaam, Posta #Jengo la Mkapa house, Ground floor- jirani na duka la nguo la Mariedo.


1. Utapata maelekezo jinsi ya kusafiri
2. Kwa wanaohitaji vitu tajwa hapo juu : vinapatikana hapo but kwa dolar 50. (50USD)


Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na Dada Martha ambae ni agent wa SCOAN kwa hapa Tanzania kupitia namba +255755875201.


#Be aware of Fraudsters!!!!...TANZANIA INA AGENT MMOJA TU NA YUPO JENGO LA MKAPA HOUSE. OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.

Haya sasa matapeli wametufuata hadi huku! anointing water? yaani kichupa cha maji mtu anunue US$ 50? kwli wajinga ndio waliwao. Kwa hili nitashanga kama serikali itafumbia macho utapeli huu.
 
Nabarikiwa sana na Nabii Tb Joshua,na sasa najiandaa kwenda kwa Nabii BG Malisa kwenye ibada ya maji ya upako.
Tarehe 30/03/2014 najitaidi ili nipate kiti
 
Siku hizi ni nyakati za kutumia garama yoyote ili kupata ushindi dhidi ya shetani
 
Tumechoka kutambikia,tumechoka kwenda kwa waganga,salsa tunaitaka hiyo nguvu ya Mungu live na siyo maneno
 
Ukitaka kutoka fasta TZ (na Africa kwa ujumla) basi ingia kwenye fani hizi, dini,siasa,utaperi, dawa za kulevya na biashara zote haramu. chukua hiyo hutaki unaacha sio lazima kuikubari.
 
Dini ishakuwa biashara 50usd?!?!kitabu/dvd inayoelekeza ujasiriamali au neno la bwana Mungu??kwa staili kuna uwezkano kabisa kwa maskini kutolipata neno la Mungu ipasavyo!!
 
SCOAN HAJANITUKANA ILA AMENIJIBU HIVII......!
user-offline.png
SCOAN

Yesterday 14:00

Member Array


Join Date : 22nd March 2014
Posts : 39
Rep Power : 308
Likes Received7
Likes Given23



[h=2]
icon1.png
Mxiiiii[/h]
We mwanamke ni mbeaaa..afu mdomo wako kama unakichungi!!!

Sikupendi kama nini yani...Mxiiiiii

Lione bichwa kuuuuuubwaaaa!!

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app​
 
SCOAN mbona una maneno makali namna hiyo, humpendi binadamu mwenzio unayeweza kumuona, utampendaje Mungu asiyeonekana? MTU aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu wamwambia ANA MDOMO KAMA KICHUNGI! Mh! Nimechoka Mimi.
 
Daaa mambo haya sahivi coordinators wapo wa kumwaga hatusumbuliw tena kwenda kwa TB Joshua njia nyeupe.......chezea maombi wewe
 
Namba ya coordinator mgimbwa ni 0787 305156 kwa mnaotaka kwenda scoan
 
Back
Top Bottom