Jamani mtusamehe kwa yote.
annabrenda; ni swala la uelewa tu dadaangu na imani yako. Kama anatoa bure ni vizuri ukaenda Scoan kupata ya bure.
Jmn mleta mada ucgeuze business. ...baada ya hyo martha kuw na nyodo za kupindukia malalamiko yalifik scoan na ss kuna coordinator mwngne anaitw Blandina Nyoni so taarifa yko ni ya uzushi na uongo mtupu kuw hamna mwngne anayeandikisha.martha hafai kanisani wla msikitin kwa mnaotak kukufuru jus dare kwnda kujiandikisha kwake mtaleta hp report au mtameza machungu yenu ndan kw ndan.tabia ya martha cna chakuifananisha nacho to be honest.
Kaunga: Sijasema mimi ni Martha(Take Note)
kabisaaa ni bora kwenda SCOAN upone kabisa na kuwaletea wengine bure. Huduma za Mungu nyinyi mnafanya biashara?!
Badilisha namna ya uandishi wako kwanza, sidhani kama wewe ni kijana wa form II.
Kaunga: Sijasema mimi ni Martha(Take Note)
Elli: Mungu ananjia nyingi sana za kuonyesha nguvu zake. Kwahiyo sio kwa kusali au kusoma neno lake unaweza kuziona nguvu hizo. Nitakupa mifano kadhaa:-
1. Mtume Paulo enzi zake alikua akitumia aprons na vitambaa vya mikononi kuponya watu wenye shida mbali mbali. Ni watu wengi walienda kupata bidhaa zake. Lakini tambua...hawakupewa tu bure kwasababu vile vitu vilikua vikinunuliwa kwa gharama.Hapo utaona Mungu anajidhihirisha kupitia vitambaa vya mikono.
2. Mtume Peter, yeye alitumia kivuli chake kuponya watu wenye matatizo. I mean, akiwa kasimama au kukaa ukipita kwenye kivuli chake unakuwa safi kabisa.
3. Yesu pia aliweza kutumia Mate na Udongo kumponya mtu kipofu.
4. Tumeona hata baadhi ya watumishi kwenye Biblia wakitumia mafuta kuwapaka watu.
5. Leo hii, Prophet TB Joshua anatumia sticker na maji kuwaponya watu na kuwatatulia watu wenye shida mbalimbali kupita vyanzo hivyo.
Kumbuka ni gharama kutengeza na kuvisafirisha vitu hivyo.
#Kwanini usiende SCOAN kwa miguu kutoka hapo ulipo kama kila kitu cha Mungu kwako ni bure?..simple!
Yule mama aliopo pale Benjamin Mkapa mmeshambadilisha au bado yupo yule yule? anaongea vibaya sana mwambie aache majibu mabaya kama anafanya kazi ya mungu kweli!! anaongea vibaya ukimuuliza kitu anakukatia simu na hakujibu.