Pitia pitia website za tcu, wizara ya elimu, pamoja na balozi za nchi za japan, scandinavia bila ya kusahau north africa (algeria, morocco, nk) Unaweza kuona matangazo yao...
Usimvunje moyo dogo... Kila mtu na bahati yake.. Kuna jamaa namjua mwaka jana alipata ya algeria...Huna sifa za kupewa ufadhili.
Ungejitahidi angalau O lev ungepata One ya 10 , na A lev one ya tano au sita.
Sijasema hakuna scholarship bali kulingana na alama mbovu sana alizopata mleta mada hata afanye nini hawezi kupewaUsimvunje moyo dogo... Kila mtu na bahati yake.. Kuna jamaa namjua mwaka jana alipata ya algeria...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh
ploudly ngosha
Mkuu nadhani hujui mziki wa PCB..! yaani hapo dogo kajitahidi sana...! Nmesoma PCB, ila hata leo ukiniambia nirudi kule nakataa..! So dogo ajaribu anaweza kupata.. Pia aangalie na south korea...! Narudia tena.. Kila mtu na bahati yake..Sijasema hakuna scholarship bali kulingana na alama mbovu sana alizopata mleta mada hata afanye nini hawezi kupewa
Na kama itatokea akapata hawezi kupewa full, labda 20% kushuka chini.
PCB mziki???Mkuu nadhani hujui mziki wa PCB..! yaani hapo dogo kajitahidi sana...! Nmesoma PCB, ila hata leo ukiniambia nirudi kule nakataa..! So dogo ajaribu anaweza kupata.. Pia aangalie na south korea...! Narudia tena.. Kila mtu na bahati yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani we kaka ulisoma kitu gani..?!PCB mziki???
Pengine ulisoma kitu usichokiweza.
Na ujinga huu wa kusema masomo fulani magumu ndio kwa kiasi kikubwa unachochea wanafunzi wavivu wavivu kama wewe kufeli kwa kiwango kikubwa.
Ukiona unasoma mwisho wa siku umeshindwa kupata hata division two ya mwisho basi jua fika kwamba ulivamia kitu usichokiweza na si kwamba hayo masomo ni magumu .
ili ikusaidie nini?
Sawa.
Hamna kitu hapa!PCB mziki???
Pengine ulisoma kitu usichokiweza.
Na ujinga huu wa kusema masomo fulani magumu ndio kwa kiasi kikubwa unachochea wanafunzi wavivu wavivu kama wewe kufeli kwa kiwango kikubwa.
Ukiona unasoma mwisho wa siku umeshindwa kupata hata division two ya mwisho basi jua fika kwamba ulivamia kitu usichokiweza na si kwamba hayo masomo ni magumu .
Ngoja nikae hapa