Nini kiliiua hii kampuni ya mabasi??w
P ushawahi kulipanda hili??
Naona hadi lina internet ndani yake!! Full wifi mwanzo mwisho, liko connected na satelites, DSTV, EPL hukosi hata ukiwa polini! raha hii bongo jamani!hahahah na kuingizwa mabasi kama haya
hahahah na kuingizwa mabasi kama haya
P ushawahi kulipanda hili??
Nakumbuka hili lilikuwa la mwanzoni (UJIO WA PILI),
hii ilikuwa ni miaka ya 1997/98 Mnazi Mmoja Scandnavia waliondoa gari wakiwa na abiria sita tu, nikiwa mmoja wao.
Ilipata vikwazo vingi sana lakini hatimaye wakaja ku lead market
umelisahau basi la Nyota na lingine lilikuwa linaitwa movement starna kabla ya hapo mkuu nikiwa mdogo walikuwa na zile Leyland DAF enzi za Fresh ya Shamba, Kwacha, Zainabu.. wakati huo wanapiga route za Mbeya - Dar
na kabla ya hapo mkuu nikiwa mdogo walikuwa na zile Leyland DAF enzi za Fresh ya Shamba, Kwacha, Zainabu.. wakati huo wanapiga route za Mbeya - Dar
hahahah na kuingizwa mabasi kama haya
Mi nilikuwa napandaga "Paradiso" lile "Kanyelamumo". Halafu warembo ndo wanatoa huduma utadhani umo kwenye KLM vile.Andare.....
Mbaya zaidi hawashauriki. Watu wenye mapenzi mema wanajitahidi sana kutoa feedback, lakini jamaa wameziba masikio.
Precisely mkuu!ni Green Star Express,tofauti ni rangi lakini huduma ni zilezile!Imetoka kivingine, inaitwa Green Star inatumia magari aina ya Yutong, sio Scania Marcopolo tena.
Nimelimiss sana hili bus, sijui lini hii kampuni itafufuka tena maana nakumbuka miaka ya nyuma iliwahi kupotea katika ulimwengu wa usafirishaji lakini baadae ikarudi tena...