Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Enzi za kuchimba dawa. Hivi siku hizi ukibanwa njiani inakuwaje
mfano pale makambako wamejenga vyoo msituni wameachana na technologia ya kuchimba vishimo kwa ajil ya kina mama
Enzi za kuchimba dawa. Hivi siku hizi ukibanwa njiani inakuwaje
Sumry nao mwisho wake kama wa hawa jamaa!
umenitouch sana katika hili nimesoma form one mpaka nimemaliza chuo kutokana na hii kampuni naijua in and outView attachment 70458View attachment 70459View attachment 70460View attachment 70461View attachment 70462
nimechukua wanawake wengi sana kupitia hii kampuni nimefanya mambo mengi tu kupitia hii kampuni
nimeipenda hii, ila sijui ulikua unatumia maujanja gani kuwapata au ulikuoa unatoa ofa za nauli?
free kaka ukimpakia mkifika kitonga menu unaingia nae kule kwa staff sista duh
gani ambae alikuwa hapendi kupanda hili basi
kipindi hicho tumaini iringa ipo hot wapo wakina miss flan bado nikiwa route za mbeya usipime
Imetoka kivingine, inaitwa Green Star inatumia magari aina ya Yutong, sio Scania Marcopolo tena.
Dah! Mkuu umanikumbusha mbali sana.. Lilikuwa basi langu hilo wakati niko shule Kampalaaaaaaaa! Nikipanda hilo najua nimefika salama tena mapema 2 labda litokee tatizo nje ya uwezo wao. Sio kama Akamba Regional au Falcon.
RIP Scandinavia
Last month ndiyo kaburi lao limesilibwa kabisa kwa kutupiwa vitu nje pale ofisini kwao KAMATA kwa kushindwa kulipa kodi ya pango.
Very true RIP Scandnavia

Niliona ile wangu.. Surely kila lenye mwanzo lina mwisho!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
umenitouch sana katika hili nimesoma form one mpaka nimemaliza chuo kutokana na hii kampuni naijua in and outView attachment 70458View attachment 70459View attachment 70460View attachment 70461View attachment 70462
nimechukua wanawake wengi sana kupitia hii kampuni nimefanya mambo mengi tu kupitia hii kampuni
ila sio siri Dar Express nao magari yao yamechoka mpaka aibu...