Hizo Marcopolo Paradiso na Viaggio ziliuzwa kwa Alsaedy. Nyingine kwa Champion.
Scandinavia ilikuwa levo nyingine katika usafirishaji wa abiria katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Mkuu Sumry kwa sasa haifai hata kuwa daladala nivimeo mnooo, kwa ujumla TZ hakuna aliyekuwa anaetoa na atoae huduma za uhakika kama scand!
Mkuu umesahu Fresh ya Shamba
Mkuu umesahu Fresh ya Shamba
Kamwenee!!
![]()
![]()
Nimelimiss sana hili bus, sijui lini hii kampuni itafufuka tena maana nakumbuka miaka ya nyuma iliwahi kupotea katika ulimwengu wa usafirishaji lakini baadae ikarudi tena...
P ushawahi kulipanda hili??
![]()
na hakuna kampuni itakayokuja kufika level za hii kampuni mshahara ulikuwa 80000 kwa kipindi hicho ila hela unayopata per day ni kubwa zaidi ya mshahara kwa kiasi kingine waswahili tumechangia kuua hii kampuni ndio make kwenye green star wamebana wamejaza waarab na waburushi, kitu paradiso dar kampala, viagio dar lusaka, dar mombasa, andare class. sumry asubiri sana na mahino yake yale yanamtia kidole
ila biashara ya mabasi ni ngumu sana
Ngorika ipo juu kwa sasa
Inawezekana,hivi ni kwanini inakuwa ngumu?nn hasa tatizo la biashara hizi maana ni kweli wanafikia hatua wana colapse
Anayejua kisa cha Scandinavia kudorora hadi kufa atujuze otherwise ntajuza kilichotokea hadi kampuni imekufa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums