Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,362
Sijaelewa hii sentensi madamme..... hebu ipige kiinglish tafazali

Mlimani ni mahali pangu pa kudumu,huyu ODM na kloro hawana ubavu wa kukuhamisha c unajua nguvu ya samahani?

u were not meant to see this! its friday, nakusamehe kabla hujaomba msamaha. ila ile issue ingine yaani inabidi malaika washuke, usali salamu maria 150 na kwenda misa za kazi mwaka mzima!
mzima lakini?

We hujawahi ona msamaha na hati ya nyumba unakabidhiwa fuuulu mausanii.
...Hiyo red ipo sana aisee!!!Samahani!!
Haya naomba samahani.
Im really sorry...i didnt mean to hurt you.
Sorry!
Heyyy I said im sorry owkeyy.Kama hutaki utajijua!!
Sasa unanilazimisha...samahani basi!!!
Niko hapa hommie...... natafakari kwa kichwa cha pili na kusoma kwa jicho la tatu......... Masaburi hayahusiki katika hili.
Yaani naunganisha hisia zinavyoweza kurudishwa na samahani lol
teh teh teh Hebu malizia ulichotaka kukisema hapa kiongozi...lol
kama vipi basi yaishe.
Msamaha soma kwa PM........Shhhh usimwambie mtu....

hahaha kwanza ODM una kesi na mm,ikibidi niombe kwanza msamaha ndo tuendelee
Siku hizi naona ameshuka kiwango hommie....NGUMU kumesa........hivi MR yupo hommie?
Mie nikiomba msamaha ujue ndo siku yangu ya kufa.............................
SIOMBI MSAMAHA HATA KAMA NIMEKOSA....(Msinitoe macho taafadhali MJ1 nani tena huyo kakukosea???)
Chauro usisahau bado nakusubiri kuleMkorofi wewe dah!

Mie nikiomba msamaha ujue ndo siku yangu ya kufa.............................

SIOMBI MSAMAHA HATA KAMA NIMEKOSA....(Msinitoe macho taafadhali MJ1 nani tena huyo kakukosea???
Sikusamehi mpaka unipe......Nataka msamaha babu!
Sikusamehi mpaka unipe......