Saying I am Sorry......

we nae una hasira hasira tu, samahani basi

Hahahahahah Kate bwana sasa hapo mtu anaomba msamakha au ndo anajitafutia kosa juu ya kosa?!
Kama nimekuudhi, basi yaishe!! (Hapa kama namwona Dena Amsi anavyochekelea! Binti mshipa wa samahani umekatika kabisa hahahahahha
 
inabidi usamaehe,ukiendeleza mnuno na yeye ana nuna ukiamua kuongea umuulize kitu anakujibu sitaki kuongea na wewe umenuna lol
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom