Saying I am Sorry......

very true..our eyes can tell a lot,hata hivyo nimekumiss! pia naomba sana unisamehe kwa yale mambo niliyokukosea,haikuwa kusudio langu iwe vile but i promise not to offend u again(Finest don't know if i will keep this promise lol)but keep in mind that,i love you trully no matter what...
Sie wenye macho ya Kungu sijui mtatugundua vp? Ukilia macho kungu, ukicheka macho kungu, ukinuna kungu....!!

Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra zako kutoweka kabla hata mwombaji hajamaliza kuomba msamaha na kuna ambazo yaani badala ya kumsamehe kosa alilokosa unajikuta unatamani kumwongezea kosa jingine......................

Kuna hii...................

My darling, If I have ever wronged you, please forgive me
I want to make you smile again, please teach me how to make you smile again
Am dying for you to love me again, am dying to be in your arms again
Please mylove I cant be me if you cant make me feel that

Lakini kuna hii pia ............
...Ah nawe huna dogo? Si yamekwisha??!!

Au............

Bwana eh kama nimekukosea, nisamehe........................!!

Honestly ningependa kujua aina ya misamaa ambayo tulishawahi kuiomba/ombwa kwa/na wenzi wetu.

hahahah Mj1 sijui nimeathirika ama vipi lakini najaribu kuconnect dotts yule mdogo wako wa jana aliyetaka ushauri,na huu wa kwamba msamaha upi unafaa....asee..hivi babu yangu kasemaje hapa....ODM where are u?

very true..our eyes can tell a lot,hata hivyo nimekumiss! pia naomba sana unisamehe kwa yale mambo niliyokukosea,haikuwa kusudio langu iwe vile but i promise not to offend u again(Finest don't know if i will keep this promise lol)but keep in mind that,i love you trully no matter what...
Dah!!! Aisee Klorokwin na Asprin wakiona meseji hii lazima waenda kwa Mwenyekiti wa mtaa kuomba nihamishwe, naona umeamua kuhamishia makazi mlimani kabisa

Nakuomba nisamehe Mpenzi… Napenda niongee mengi nioneshe ni kiasi gani najutia kosa lakini naelewa kua nawe ni binadamu bado una hasira na hujapoa … hivo maelezo yangu yatakua ka kelele tu kwako… nakupa nafasi wa ndani wangu utafakari.. ila naomba nitapo rudi walau moyo wako juu yangu urudi hali ya kawaida… Kikubwa jua nakupenda saana…. Na najihisi si lolote bila penzi lako…. Take care lov...

Thanks Love...hapo ulipoishia....Nisamehe Mpenzi Wangu, sina uchaguzi mwingine ila kukupenda tu....take care too

hahahah Mj1 sijui nimeathirika ama vipi lakini najaribu kuconnect dotts yule mdogo wako wa jana aliyetaka ushauri,na huu wa kwamba msamaha upi unafaa....asee..hivi babu yangu kasemaje hapa....ODM where are u?
teh teh teh Hebu malizia ulichotaka kukisema hapa kiongozi...lol

u were not meant to see this! its friday, nakusamehe kabla hujaomba msamaha. ila ile issue ingine yaani inabidi malaika washuke, usali salamu maria 150 na kwenda misa za kazi mwaka mzima!
mzima lakini?

ohooo....see now?

hahahah Mj1 sijui nimeathirika ama vipi lakini najaribu kuconnect dotts yule mdogo wako wa jana aliyetaka ushauri,na huu wa kwamba msamaha upi unafaa....asee..hivi babu yangu kasemaje hapa....ODM where are u?
hapana kaizer kwa ishu ya jana haihusiani na hii thread kwa sababu kuu moja..... Mume wa yule mdada alishajua kuwa mkewe amecheat na alishamsamehe.

Hii nimeleta tu kufurahisha jamvi na kupunguza tension ya jana and it was inspired by a Nigerian movie I was watching last night. Ubarikiwe

Niko hapa hommie...... natafakari kwa kichwa cha pili na kusoma kwa jicho la tatu......... Masaburi hayahusiki katika hili.

Yaani naunganisha hisia zinavyoweza kurudishwa na samahani lol

Babu yuko wapi anifundishe kuomba msamaha mjukuu wake:popcorn:
Niko huku jukwaa la Maria Roza..... come this way baby......

Haya naanza somo, unataka kuomba msamaha kwa kosa lipi?............Am waiting!

hapana kaizer kwa ishu ya jana haihusiani na hii thread kwa sababu kuu moja..... Mume wa yule mdada alishajua kuwa mkewe amecheat na alishamsamehe.

Hii nimeleta tu kufurahisha jamvi na kupunguza tension ya jana and it was inspired by a Nigerian movie I was watching last night. Ubarikiwe
Abegwoo abegwoo you need to say sorry woooo madam

Similar Discussions

Back
Top Bottom