Say no to CHAPUTA

kupiga puli ni ulimbukeni tu na kujiendekeza sijawahi kupiga puli mimi na sahv wife kajifungua yupo likizo ya uzazi mwezi unaenda wa 3 sijapiga nje wala kupiga puli its a matter of mindset nawasihi wanaume wenzangu acheni kujiendekeza
 
1.Naishi peke angu
2.Nasoma
3.Free time ni ndogo sana ila naitumia hiyohiyo
4.Sina mpenzi kutokana na woga kwani nilishapata perfomance anxiety nikashindwa kusimamisha nikiwa geto na dem mpaka leo sijarudia.
Hapo ndio kaxi ya nyeto hiyo mpka uone porno kwanza
 
nimecheka sana cjui ni muelewe nan
 
Kila mwanaume duniani ashawahi kupiga nyeto.

Nilikuwa muhanga Wa nyeto tangu 2009 hadi 2014 ilinitesa sana na hayo yote ni kwakuwa siku na demu

Kuhusu bao kuja fasta wala usiwe na shaka wanaume huwa tunatofauti dakika kwenye hilo bao la kwanza Ila kuanzia la pili ba kuendelea kama nako ni shida basi utakuwa na tatizo la upungufu Wa nguvu za kiume

Nakushauri acha punyeto acha porn na mapicha ya uchi
.
Kula mbegu za maboga hata 20 kwa siku kwa wiki 2

Tafuta gemu ujipime ufanisi dushe linabidi lizoee joto la K sio mkono

Tafuta gemu zaidi performance itaongezeka

Usiache kula mbegu za maboga ..
 
kweli mkuu....

joto la k ni hatari sana.... ukizoea nyetto alafu ukakutana na lile joto....unaeza eka kichwa tu ukapiga bao
 
Ndio kitu gani hicho CHIPUTA
 
Natamani nikutane na mwanaume anaepiga nyeto alafu mzigo ushindwe kusimama nione aibu yake inavyokuwa
 
Hongera sana jitahidi kabisa kwa kila njia usirudi huko
 
Duuh.. leo si kidogo nichepuke tena, nimeamka asubuhi nakuta mchizi kasimama dede nikaanza kumshikashika mara nikapaka na lubricant kabisa... ile nataka kuanza si ndo nikakumbuka kumbe nimesharudisha kadi ya CHAPUTA aisee nimeruka fasta nikaamka nikapiga push ups 30 ,squats 50 nikaoga fasta sa sa hz naendelea na shughuli zangu kiroho safi.. tuombeane jamani wandugu hili zoezi ni zito nashukuru nimeshinda hilo jaribu.. ila tusife moyo KUACHA INAWEZEKANA.
 
CHAPUTA==??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
NDUGU NAWAKUMBUSHA TENA MWAKA UNAENDA KUISHA HIVO.. TUMALIZE VIZURI JAMANI PULI HAPANA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…